Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,581
Habari jamani.
Leo nimekuja hapa Dsm mtaa wa Kunduchi, nikaona nilale guest house fulani hivi. Wakati najiorodhesha jina kwenye kitabu cha wageni, nikaona jina langu kana kwamba nimelala hapa tarehe 05.03.2017.Wakati kipindi hicho mm sikuwepo Dsm.
Napata wakati mgumu kumjua aliyeingia hapa na kimada akaniandika mm.
Pia n risk sana kwako wewe unayependa kuniandika mm ukiwa na kimada chako.
shabashi.