Unawezaje kutokuwa na maelewano mazuri na wazazi wako kisa mke?

Mke = Ndugu

Mke = Rafiki

Mke = Jamaa

Mwanaume anayejitambua lazima awe anatoa maamuzi sahihi kupitia tafsiri hizo hapo juu kulingana na mazingira au wakati sahihi.

NB:

Wazazi ni ndugu ambao wamechangia 75% Mwanaume kuitwa Mume tokana na malezi yao kwako.

Gharama zozote zaweza kufidiwa katika maisha lakini si malezi ya wazazi hata uwe na milki za kifahari au mali kiasi gani.
 
ni vigumu mwanaume kutopenda au kutoa madhaifu upande wa kike
Haujajibu swali langu. "Ungependa mke wako akuwekee condition ya namna hiyo"?

Kaa ukijua familia nyingi za mwanaume ndio wanakuwaga na kidomo domo. Tuna mama zetu tunaona wanavyokuwa kwa wanawake walioolewa na watoto wao wa kiume.
Huwa wanaona kama huko ulipotoka ulikuwa unalala nje, ulikuwa hauli chakula hivo maisha umekuja kuyakuta kwa mtoto wao alio kuoa. Utasikia " na siku hizi ameanza kunenepa aliolewa amekauka kama ukuni".
Kubali kataa ila wazazi wa watoto wa kiume mara nyingi ndio huwa ni wachokozi na chanzo cha ndoa ya mtoto /watoto wao kutokudumu.
Source, hao hao alikiba na diamond uliowatolea mfano.
 
Mke wako umemuoa hule mambo yako uenjoy life wazazi yana wahasu nini ndio wakristo kupitia kitabu chao wana kuambia mtaachana na wazazi wenu mkaishi kivyenu ata katika maisha uki wasikiliza sana wazazi utafeli maisha kama wazazi wana weza kukupatia unacho pata kwa mkeo ni sawa wasikilize..
 
kubali wewe ni bwege
 
Haujajibu swali langu. "Ungependa mke wako akuwekee condition ya namna hiyo"?

Kaa ukijua familia nyingi za mwanaume ndio wanakuwaga na kidomo domo. Tuna mama zetu tunaona wanavyokuwa kwa wanawake walioolewa na watoto wao wa kiume.
Huwa wanaona kama huko ulipotoka ulikuwa unalala nje, ulikuwa hauli chakula hivo maisha umekuja kuyakuta kwa mtoto wao alio kuoa. Utasikia " na siku hizi ameanza kunenepa aliolewa amekauka kama ukuni".
Kubali kataa ila wazazi wa watoto wa kiume mara nyingi ndio huwa ni wachokozi na chanzo cha ndoa ya mtoto /watoto wao kutokudumu.
Source, hao hao alikiba na diamond uliowatolea mfano.
kabisa na najua nini mke wangu hapendi hili huwa ni jambo la muhimu kufahamu kabla hujawa na mtu.
pamoja na mambo mengine mimi ni mtu wa upendo, kujali na najukumu yote ya baba katika familia yake nayafanya na mke wangu ana uhuru kuzidi unavyofikiria...Ila linapokuja suala la wazazi na wadogo zangu hilo halina mjadala, kama hutoweza kumatch nao fungasha virago full stop
 
Mungu atusaidie tunaotaka kuolewa
Mwenyezi Mungu anisaidie Ukweni wasinione kitu.
Wazazi wangu wanibariki kweli kweli aisee nisije nikakengeuka nikaja kuandikwa Jf
Ila wakuu ambao bado hatujaolewa mnatufanya ndoa tuione ngumu sana, punguzeni ukali wa maneno wakuu wakati mwingine dada/kaka zenu nao pia ni jipu wanakuaga na visirani vyao,japo na sisi pia tunakosea muwe na moyo wa msamaha na usawa pia sio kila wakati mtudunde kisa ndugu zenu ,ukishanioa ujue na mimi ndugu yako niweke kwenye kundi la ndugu zako na mimi nisipungukiwe kama ndugu zako usinijengee kuwatenda ndugu zako kama wafalme kisa unataka wao wafurahi mda wote, kama nakupenda nimeolewa na wewe kwa sababu ya upendo automatically tu ntawapenda huhitaji kuniambia niwapende .
 
mkuu natamani nimwambie mdogo wangu akuoe,
 
Mama na baba yangu, kweli itokee mwanamke afanye nisielewane na nyie? umbali wangu kwenu haizidi km20 lakini mnanipigia kila mara kutaka kujua naendeleaje zaidi ya mimi ninavyowapigia.... nakumbuka mlivyopigika kunisomesha hata hamkutaka nisome kayumba school kuanza chekechea mpaka form six na chuo hamkataka kusikia nasoma kwa mkopo wa serikali ......MUNGU AWAPE MAISHA MAREFU MY HEROES
Nasema kama sitompata mwanamke wa kuendana na wazazi na familia yangu bora nipige tu then nibaki bachela
 
Back
Top Bottom