Unawezaje kutokuwa na maelewano mazuri na wazazi wako kisa mke?

Kuna wazazi wengine ni pasua kichwa yan mzazi hajielewi wala haelewi chochote yan yuko mama mmoja ivi mtaani kwetu yani hafai kuwa mama nakwambia wanae wanamvumilia tu, mzazi kama huyo hutakwepa ugomvi na yeye hata kidogo.

mimi namshukuru sana mungu kwa kunipa wazazi hawa nilionao hadi kuna muda huwa naona kama ni ngekewa au zali la mentali kuzaliwa na wao
 
Back
Top Bottom