Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Nlishawahi fanya huo utopolo
[emoji28][emoji28]utakuwa shabiki wa Yanga wewe ndio wana hizo pigo
Nlishawahi fanya huo utopolo
😂😂😂😂[emoji28][emoji28]utakuwa shabiki wa Yanga wewe ndio wana hizo pigo
Matapishi.....Wasalam
Moja kwa moja kenye mada, Hivi unawezaje kumrudia mtu ambaye mliachana.
Waza kwamba mhusika unaetaka kumrudia kapita na wangapi toka mmeachana.
kama mwanzo hamkuweza kukuza uhusiano wenu ni kipi kinakuwa hakikishia kuwa mkirudiana itawezekana.
Tuseme bado unampenda na yy ndio alikuacha sasa amerudi, unawezaje kuamini kuwa hatokuacha tena 😅 😅 😅
Wenye uzoefu kwenye hili naombeni msaada.
#POLE DEAR X
Tairus.
😂😂Matapishi.....
Umeshasema kwa wengine..uwe na akili ya kuelewa kilichoandikwa kuku wewe
Umeshaona hakuna jipya kitulize Basi sisteri😏Watu wanamega tu labda kama unakimbilia kwa bikra kuku mwemyewe wanawake ni wale wale hakuna jipya
Umeshaona hakuna jipya kitulize Basi sisteri😏
😂😂😂😂😂Kuna mvulana na Mwanaume hapa
. Hamna timu nayoichukia kama hiyo ulosema wewe[emoji28][emoji28]utakuwa shabiki wa Yanga wewe ndio wana hizo pigo
FactHutaki kurudiana na ex wako ila unsonga mbele na ex wa mwenzako..
Na hapo ukumbuke na we pia ni ex wa mtu
Ubwege zaidi ni kumuacha mpenzi wako kosa kakusaliti au ulimfumania,unaenda kuanza mahusiano mapya na ex wa mwingine ambae nae aliachwa kwa kufumaniwa..atakwambia ukweli?
Namba moja inanihusuKwa kifupi ukisoma saikolojia ya mapenzi mtu anaetaka kurudiana na mpenzi wake wa zamani au amerudisha mapenzi kwa mpenzi wa zamani ujue
1.alichotegemea katika mahusiano mapya Socho anaona bora amrudie Yule wa zamani
2.amekosa mtu wa kufanya replacement hivyo anaona bora nirudi kule kule kwa zamani
3.amegundua mpenzi wake wa zamani ana maisha mazuli hivyo anaona aibu watu watamuonaje
4.Hofu ya kuanza upya Katika mapenzi hapa hivyo kumpata mwingine kama yeye amemkosa anaona bora nibakie hapa hapa
5.mwingine anatafuta njia ya kupona ugojwa wa Sonona