maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,121
- 4,855
Angalau wewe, me kitu chochote nikiweka mkono wangu tu siezi kula adi nimeshajulikana kwa mama ntilie ote, afu mazaga ya kupika yapo tuMimi inategemea na chakula Kama pilau au chapati ndo zinanishinda kula nikipka mwenyewe mpaka nijizungushe zungushe ndo ntaweza kula Kama wew ni kila chakula Basi ukimaliza kupka usile hapo hapo kaoge au fanya shughuli nyingne ukae mda kidogo ndo uje ule
Hatutofautiani kabisa, me nikipika wengine watakula me ntajipa shughuli hadi baada ya masaa labda mawili ndio nitaweza kula na kuenjoy chakula, njaa ikishanishika vizuriMimi inategemea na chakula Kama pilau au chapati ndo zinanishinda kula nikipka mwenyewe mpaka nijizungushe zungushe ndo ntaweza kula Kama wew ni kila chakula Basi ukimaliza kupka usile hapo hapo kaoge au fanya shughuli nyingne ukae mda kidogo ndo uje ule
Mungu ni mwema kwa wote
Najiuliza unaezaje kula chakula ulichopika mwenyewe maana mi chakula nikipika kwa mikono yangu siezi kukila yaani kinanikinai mapema
Nyie kwenu vp mnatumia mbinu gani kula chakula ulichopika mwenyewe
Daaaah asee mnaenjoy sana me labda nile kwa sapoti ya wengine ila peke angu kabisa siwezi mzee hili naliona kabisa tatizoMie sina hii kitu nikipiga ugali wangu na samaki za kukaanga au dagaa na bamia. Naukamata sawa sawa.
Haupiki unachotaka kula mkuu.Mungu ni mwema kwa wote
Najiuliza unaezaje kula chakula ulichopika mwenyewe maana mi chakula nikipika kwa mikono yangu siezi kukila yaani kinanikinai mapema
Nyie kwenu vp mnatumia mbinu gani kula chakula ulichopika mwenyewe
Hapana mkuu naeza nkapika chakula nnachotaka kula, nikishamaliza tu kupika hamu ya kula inakata, najipa moyo ngoja nikatembee kidogo ili hamu ikija nirudi kula ila final naangukia mgahawan nakula chakula kama nilichokiacha ghettoHaupiki unachotaka kula mkuu.
Usiishi kwa kukaririNjaa haijakukamata au tusikuvungie sana haujui kupika.. fanya fanya ujifunze kupika ukionja unaonja bakuli zima..😂
Tunaopika mara kwa mara tusemeje.,au huwa unapenda kuonja sana jikoni?.Mungu ni mwema kwa wote.
Najiuliza unawezaje kula chakula ulichopika mwenyewe maana mi chakula nikipika kwa mikono yangu siwezi kukila yaani kinanikinai mapema.
Nyie kwenu vipi mnatumia mbinu gani kula chakula ulichopika mwenyewe.
Huwagi na njaa weweMungu ni mwema kwa wote.