Unawezaje kujinasua kwa mtu Mwenye balaa, mikosi?

Unawezaje kujinasua kwa mtu Mwenye balaa, mikosi?

kadiri kasimba

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2022
Posts
578
Reaction score
1,107
Wakuu hivi ni nini kinatakiwa kufanyika pale unapojikuta tayari umedate na mwanamke au mwanaume Mwenye GUNDU,NUKSI,MIKOSI?
Nitolee mfano mfano umedate na mwanaume x au mwanamke x na ghafla kesho yake unaanza kuona mambo Yako yanaanza kwenda ndivyo sivyo, vitu haviendi kama mwanzo, je ni njia ipi ya kujinasua je ni kuvunja hayo mahusiano fasta? Itasaidia? Au kurudi kwenye maswala ya kiimani Kwa watu wa dini na Imani zingine?
Naombeni ushauri na maoni yenu wakuu!
 
Ukiwa naye mtaani Piga kelele kwamba anataka kukuteka
 
mfano umedate na mwanaume x au mwanamke x na ghafla kesho yake unaanza kuona mambo Yako yanaanza kwenda ndivyo sivyo, vitu haviendi kama mwanzo, je ni njia ipi ya kujinasua je ni kuvunja hayo mahusiano fasta? Itasaidia? Au kurudi kwenye maswala ya kiimani Kwa watu wa dini na Imani zingine?
Naombeni ushauri na maoni yenu wakuu!
Kimbilia baharini tu ukiwa na kidumu cha lita 5 hio ndio ponapona yako
 
Back
Top Bottom