Wakuu naomba msaada kidogo unawezaje kuangallia selection ulizofanya kwa wale walio apply through nacte.Kwa wale form six kuna sehemu imeandikwa VIEW SELECTION je kwa diploma unabonyeza wapi kuiona.
Kutoka diploma kwenda degree.Ukiingia kwenye profile yako hakuna sehemu imeandika "view selection" kama kwenye profile za form 6 .Au kwa maana nyingine ukitaka badili course mojawapo uliyochagua unaingia wapi?.
Duuuh m narudi kijiji kwanza kuvuna maana huku town nimesubiri hzo selection naona ni magumash tuu, lkn huko nnako enda hamna umeme diwani tu ndo mwenye smartphone, nacte mkitoa mtutumie barua