K Konaball JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 2,949 Reaction score 1,943 Aug 1, 2012 #1 kwa wale wa DAR enzi zile unaweza kuwajua hawa ni akina nani Attachments scan0001.jpg 96.2 KB · Views: 692
Wilbert1974 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2011 Posts 1,632 Reaction score 481 Aug 1, 2012 #2 Safi sana aisee! No mkorogo; ngozi asilia kabisa. Ila kuna mmoja hapo kikwapa kina msitu wa pande kiana...
Safi sana aisee! No mkorogo; ngozi asilia kabisa. Ila kuna mmoja hapo kikwapa kina msitu wa pande kiana...
LexAid JF-Expert Member Joined Jul 5, 2011 Posts 1,931 Reaction score 774 Aug 1, 2012 #3 Duh, Hiyo ni Chupa ya DoubleCola hapo mezani?
S SURUMA JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 2,892 Reaction score 1,068 Aug 1, 2012 #4 Kuna SHORTY mmoja kwa pembeni ana AFRO nadhani namfahamu...
mkomatembo JF-Expert Member Joined Dec 17, 2011 Posts 1,477 Reaction score 819 Aug 1, 2012 #5 NA kweli wa Dar! mie nilidhani DArisalama, maana sijaona picha za wana kindakindaki wa Darisalama hapo! na hicho si kinywaji chao!
NA kweli wa Dar! mie nilidhani DArisalama, maana sijaona picha za wana kindakindaki wa Darisalama hapo! na hicho si kinywaji chao!
K Konaball JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 2,949 Reaction score 1,943 Aug 1, 2012 Thread starter #7 mkomatembo said: NA kweli wa Dar! mie nilidhani DArisalama, maana sijaona picha za wana kindakindaki wa Darisalama hapo! na hicho si kinywaji chao! Click to expand... kaka angalia vizuri hiyo picha watatu kushoto ni marehemu Christina Moshi (Moshi NDEKEKULE) wa mwisho ni Halima Saidi au Mama Kibanda alikuwa maarufu sana Maquiz du Zaire,hao ndio walikuwa mabinti wa kwa Macheni enzi hizo
mkomatembo said: NA kweli wa Dar! mie nilidhani DArisalama, maana sijaona picha za wana kindakindaki wa Darisalama hapo! na hicho si kinywaji chao! Click to expand... kaka angalia vizuri hiyo picha watatu kushoto ni marehemu Christina Moshi (Moshi NDEKEKULE) wa mwisho ni Halima Saidi au Mama Kibanda alikuwa maarufu sana Maquiz du Zaire,hao ndio walikuwa mabinti wa kwa Macheni enzi hizo
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 7,520 Reaction score 6,517 Aug 1, 2012 #8 Safi sana, halafu enzi hizo hakuna msamiati wa kondom.
C CottonEyeJoe JF-Expert Member Joined Jan 8, 2008 Posts 331 Reaction score 73 Aug 1, 2012 #9 chupa ya fahari hiyo... sio double cola....
Kaitampunu JF-Expert Member Joined Nov 24, 2011 Posts 2,457 Reaction score 1,369 Aug 1, 2012 #10 Dotworld said: Click to expand... Ni ma barmaids wa zamani tu hao.
Joeli JF-Expert Member Joined Apr 25, 2011 Posts 4,941 Reaction score 3,417 Aug 1, 2012 #11 Dotworld said: Click to expand... mh walikuwa waukweli hata kama walikuwa mabaamedi
hovyohovyo JF-Expert Member Joined Jul 8, 2012 Posts 547 Reaction score 159 Aug 1, 2012 #12 Maantiki ya kuwabandika jf ni ipi??
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,294 Reaction score 98,920 Aug 1, 2012 #13 Memory Lane! Naona Plisner hapo kwa mbali,mie namuona Preta na Mwali tu!
Ngangasyonga JF-Expert Member Joined Sep 13, 2010 Posts 455 Reaction score 71 Aug 2, 2012 #14 Turushieni na contact zao wajameni, watakuwa hawajachoka sana naamini!!
The Pen JF-Expert Member Joined Dec 31, 2010 Posts 755 Reaction score 261 Aug 2, 2012 #15 Mkuu Dotworld, kila nionapo picha ndogo ambayo haionekani vizuri, huwa na-scroll chini; najua kuna msaada wako. BIG UP! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mkuu Dotworld, kila nionapo picha ndogo ambayo haionekani vizuri, huwa na-scroll chini; najua kuna msaada wako. BIG UP!