P Puffader Member Joined May 8, 2013 Posts 44 Reaction score 9 May 11, 2013 #1 MTOTO: Baba naomba hiyo glass. BABA: Njoo uchukue mwenyewe. MTOTO: Baba bwana naomba. BABA: Halafu we mtoto ntakuja kukupiga. MTOTO: Basi ukija kunipiga njoo na hiyo glass..
MTOTO: Baba naomba hiyo glass. BABA: Njoo uchukue mwenyewe. MTOTO: Baba bwana naomba. BABA: Halafu we mtoto ntakuja kukupiga. MTOTO: Basi ukija kunipiga njoo na hiyo glass..
Ushirombo JF-Expert Member Joined Jan 22, 2013 Posts 3,558 Reaction score 2,714 May 13, 2013 #2 haaaaaaaaaaaaah haaaaaaaaaaaah haaaaaaaaaaaaaaaaaaaiiiiiiiiiiiiiiiiiiighhh
D dotcomlady Senior Member Joined May 2, 2013 Posts 137 Reaction score 11 May 13, 2013 #3 Hahahaha jamani ndo dotcom watoto hao wanachulia poa kila ktu Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
Hahahaha jamani ndo dotcom watoto hao wanachulia poa kila ktu Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums