Unaweza kuwa Cameraman Mkubwa

Unaweza kuwa Cameraman Mkubwa

Author

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
1,745
Reaction score
8,230
Kama una ndoto za kuwa mpiga picha mzuri anza kwa kutumia simu yako (smartphone) kupiga picha mbalimbali za mazingira na vitu unavyoona vinavutia,,kisha anzisha uzi au account Facebook au Instagram uwe unapost picha hizo. Ukipata likes na followers wengi tambua kuwa una kipaji na uko vizuri (Umeshatambua soko). Tafuta Camera nzuri anza biashara kidogo kidoooogo....baada fungua photo studio, weka cameras chukua tenda za kushoot kwenye shughuli mbalimbali...weka vifaa vingine ofisini kwako kwa ajili ya kuuza...unatoka!.....

KUMBUKA: Anza na simu uliyo nayo
 
Nilishakuwa cameraman naelewa unachoongea.nilipata bahati mbaya kuibiwa kamera nzuri. Ila bado naamini kwa Upigaji picha Mimi ni mpiga picha mzuri sana.(kipaji) na naelewa picha za biashara zinalipa vizuri sana.
 
Kama una ndoto za kuwa mpiga picha mzuri anza anza kwa kutumia simu yako (smartphone) kupiga picha mbalimbali za mazingira na vitu unavyoona vinavutia,,kisha anzisha uzi au account Facebook au Instagram uwe unapost picha hizo. Ukipata likes na followers wengi tambua kuwa una kipaji na uko vizuri (Umeshatambua soko). Tafuta Camera nzuri anza biashara kidogo kidoooogo....baada fungua photo studio, weka cameras chukua tenda za kushoot kwenye shughuli mbalimbali...weka vifaa vingine ofisini kwako kwa ajili ya kuuza...unatoka!.....

KUMBUKA: Anza na simu uliyo nayo
Well said Chief.
 
Nahitaji mtu aliyesomea ishu za photography hata kama ni basic na mwenye experience kwenye field tudiscuss jambo pm
 
Back
Top Bottom