unaweza kuvaa hii...?

Hahaha...it's all possible with fashion!
 
Jeans yenye muundo wa Boxer... Some thing must be wrong some where....
 
Ukiwa na akili timamu huwezi kuvaa hata kidogo.
 
Jamani kama haiwa fit waache inao wafit wavae, to me hiyo wametengenezewa wenye mabusha hapo hawatabanwa na watakluwa wameepuka kuvaa misuli au mnafurahia wenzenu kuvaa misuli kila siku? bora madesigner wamewakumbuka hao maana walikuwa hawawezi kuvaa modal wala jeans.
Wenye mabusha wote jamani kivazi hicho mmeletewa nendeni mkatoe oda kwa designer msiseme ooh sie kila siku misuli tuu sijui le leleleleee.......................
 
na hiyo ya juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…