Rejao JF-Expert Member Joined May 4, 2010 Posts 9,219 Reaction score 4,087 Feb 6, 2012 #61 Kongosho said: Swit hat tangu nikufadhili operation ya pua unataka kujidai mjanja? Na bi mkubwa smile kaahirisha safari. Click to expand... Ooh darl!! Sema taratibu basi watu wasisikie!! Mmh..mi najiachia kwa raha zangu, kumbe smile bado yupo active? Mbona hajaniambia kama amehairisha safari?
Kongosho said: Swit hat tangu nikufadhili operation ya pua unataka kujidai mjanja? Na bi mkubwa smile kaahirisha safari. Click to expand... Ooh darl!! Sema taratibu basi watu wasisikie!! Mmh..mi najiachia kwa raha zangu, kumbe smile bado yupo active? Mbona hajaniambia kama amehairisha safari?
Rejao JF-Expert Member Joined May 4, 2010 Posts 9,219 Reaction score 4,087 Feb 6, 2012 #62 Golden Mpoleeee said: niweke ya nn hali hio hapo juu weshanianika? Click to expand... Mmmh GM..unanifanya nianze kufikiria kwenda kuuza kile kihamba changu kule milimani nije kutua kwako!!
Golden Mpoleeee said: niweke ya nn hali hio hapo juu weshanianika? Click to expand... Mmmh GM..unanifanya nianze kufikiria kwenda kuuza kile kihamba changu kule milimani nije kutua kwako!!
Rejao JF-Expert Member Joined May 4, 2010 Posts 9,219 Reaction score 4,087 Feb 6, 2012 #63 Golden Mpoleeee said: mm cmchukui moja kwa moja. Namuazma namrudsha ka alivo wala hakpungui kitu. Click to expand... lakini mambo huanza hivi hivi..umesahau kuwa chovya chovya humaliza buyu la asali?
Golden Mpoleeee said: mm cmchukui moja kwa moja. Namuazma namrudsha ka alivo wala hakpungui kitu. Click to expand... lakini mambo huanza hivi hivi..umesahau kuwa chovya chovya humaliza buyu la asali?
Golden Mpoleeee JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 572 Reaction score 206 Feb 6, 2012 #64 Rejao said: Mmmh GM..unanifanya nianze kufikiria kwenda kuuza kile kihamba changu kule milimani nije kutua kwako!! Click to expand... kama una kitambi usinisogelee.
Rejao said: Mmmh GM..unanifanya nianze kufikiria kwenda kuuza kile kihamba changu kule milimani nije kutua kwako!! Click to expand... kama una kitambi usinisogelee.
Golden Mpoleeee JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 572 Reaction score 206 Feb 6, 2012 #65 Rejao said: lakini mambo huanza hivi hivi..umesahau kuwa chovya chovya humaliza buyu la asali? Click to expand... nan kakwambia utachovya?
Rejao said: lakini mambo huanza hivi hivi..umesahau kuwa chovya chovya humaliza buyu la asali? Click to expand... nan kakwambia utachovya?
I Independent Voter JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 279 Reaction score 71 May 21, 2012 #66 Golden Mpoleeee said: nan kakwambia utachovya? Click to expand... eeh......................