Pd proxy haikubali sharing mkuuTafuta connectify software. Then instal katika pc yako.
Pd proxy haikubali sharing mkuu
Pd proxy haikubali sharing mkuu
mkuu usidanganye umma.pdproxy inakubali sharing vizuri tu mi hapa nilipo naitumia kwa kutumia software ya mhotspot..nimeshare kwa laptop 4 na simu yangu ya tano
Kaka nilitest hio mhotspot kwangu imekataa kama hutojali share version ya pd, mhotspot na os unayotumia
Mkuu sio lazima ununue ipo lite ya freeConnectify ndio Mpango Mzima japo Bei yake imechangamka kidogo. Mzigo nliununua Online kwa Bei ya $45. Ninayo pia Pdproxy. Hivyo nafanya sharing via Tap. Inakubali ku-share. Usidanganyike.
Tafuta connectify software. Then instal katika pc yako.
Thanx mkuu nimekwenda hapa Compare Hotspot Lite vs PROThanx, i ll be back for feedback
Pd proxy haikubali sharing mkuu
Tumieni mypublicwifi, mimi mwenyewe mhotspot imekataa nikafanikisha kwa mypublicwifi.
http://www.mypublicwifi.com/downloads/MyPublicWiFi.exe