Siamini at that age unaweza kuibiwa maneno kaka hahaha. Hata nikikuona for a week siwezi kukupenda. Nahitaji muda nione kama una akilitmamu aisee.
Haya bana, wknd njema.
Ndio SnowBall inawezekana tena sana....................real love is the language of heart, hearts communicate themselves na kuambiana kuwa sisi tunapendana ama sisi hatupendani.
huko hakuitwi kupenda ni kutaman.kwan huwez kumpenda mtu usiyemwona kwa macho angalia ucje penda jin ukajajutia.yule ucye mjua wala kumuona huwez kumpenda ndugu yangu labda umtaman tu tena kumuona then u can decide kumpenda au laa
THEDEALER ndio nataka kujua mkuu..hivi hizi 'avatars' zetu zinazungumza kitu flani kutuhusu???
Ina maana zinaweza kupeleka ujumbe flani kwa mhusika???
Preta ina maana nyuma ya avatars kuna mambo mengi yamejificha..right?
Uliposema 'kunyonywa damu' ujue umenitisha...fafanua basi.....
THEDEALER ndio nataka kujua mkuu..hivi hizi 'avatars' zetu zinazungumza kitu flani kutuhusu???
Ina maana zinaweza kupeleka ujumbe flani kwa mhusika???
nojo hebu nisaidie hapa..'kupenda' na 'kutamani'...kipi kinatangulia kingine??...Kwa hiyo unamaanisha kutamani ni ruksa hata kama ni kwa njia ya 'avatars'????
.... kwangu mimi naita ni ugonjwa kabisaaaaaaaaaa manake utahadaika kwa mengi sana. Experience inaonyesha wengi wanao tamaniana kwa avatar ama miandiko huishia kumwagana ama kuvunjana matumaini as wanajikuta walikuwa na higher expectations kumbe muhusika ni wa lowest.
what i know ni kwamba kuna watu ambao avatar zao reveals who they are. na hawa hata miandiko yao iko hivyo hivyo huwa inawasema ni watu wa aina gani.
but kuna wengine wanajifake kwenye avatar like unakuta kaweka avatar superb ila ukimwona si wa kivile, ama mwandiko unampa chati ila uhalisia hayuko hivyo.
kwangu mimi kwa mtu ili kuweza kupenda na sio kutaman sharti at least amwone muhisika si kiavatar but kihalisia as aone picha ama amwone mwenyewe.
kwenye kutamani hapo mtu anaweza akatami hata nukta tu ikiwekwa na muhusika lolz!
huu kwangu mimi naita ni ugonjwa kabisaaaaaaaaaa manake utahadaika kwa mengi sana. Experience inaonyesha wengi wanao tamaniana kwa avatar ama miandiko huishia kumwagana ama kuvunjana matumaini as wanajikuta walikuwa na higher expectations kumbe muhusika ni wa lowest.
nafikiri tujifunze kitu kimoja bila woga wa moyo ,in reality huwezi kupenda kitu hujakiona,usiwaone watuy wanapendeza njiani 100% ya nguo walizozivaa wameziona mahali wakazipenda ndio wakaenda na wao kutafuta .katika suala la mapenzi utatamani na pindi utakwapomwona utampenda au kumchukia,mapenzi ni kama ulevi vile kuna watu wengine wanalewa maneno matamu ,zawadi anazotumiwa ,picha aliyotumiwana huyo mpenzi ,avatar anayotumia whatever unaweza vutiwa na kutamani kumwona ili kuupa moyo ushibisho wa mwisho,naamini katika mapenzi cha mwisho kusema nampenda ni macho kumwon amhusika ather wise kila mmja anajitamkia tu na kujidanganya kimoyomoyo.jamani shughulisheni ubongo bandugu mtaliwa .THERE IS GREAT DIFFERENCE BETWEEN FANTANCY AND REALITY
Ahsante kwa ushauri dadaangu..
Lakini wanasemaga kuna 'telepathy'..yaani kuna wakati 'avatars' zinazungumza kumhusu mhusika..
Hebu fuatilia utaniambia...