Unaweza kumuacha umpendae?

mhhh Ngoja hii nimuulize mke wangu mama gaude akirudi kazini nijue kama angelikuwa yeye angefanyaje
 
yaani sasa hivi wameamua kuishi tu tayari jamaa ana nyumba ndogo, huyu mdada anataka nn tena? mkaka kashasema waachane!...haaaa mapenzi haya kweli upofu.
 
Upofu sana tu yaani

sasa wewe ulimshaurije? mwambie hakunaga mapenzi mtu anapokutamkia kwa mdomo wake kwamba muachane, hamuwezi kwenda sambamba hata ulazimishe kivipi, ni kupotezeana muda tu na maumivu ya muda mrefu...mwambie ashike njia kwa sasa.
 
na wadada cc tuna mambo sana, yaani unakusanya vi chupi na vi bra vyako huyoooo mbio kwa mwanaume ukajihifadhi....ndio matokeo yake haya.
 
kwangu ni BIG NOO rejea mada ya DENA ameongelea nyumba ndogo tutakuwa marafiki mpaka uchumba lakini sitaishi na wewe huo ndo msimamo wangu bahati nzuri nilishaolewa na sikuwahi kuhamia kwa Mr tulikuwa kwenye relationship for three years kwenda na kuondoka sawa lakini funga virago au yeye ahamie kwangu ilikuwa hapana

cha kwanza kabisa mimi sijasema kitu chochote kuhusu nyumba ndogo... haiwezi kuwa nyumba ndogo kama bado hamjaoona...... na kuishi na mwanaume kama kwako ni big NO basi kwangu ni big YES. kuna mambo mengi sana ambayo mnaweza jifunza kuhusu wote kabla ya ndoa...sex, financial situation ,love life ....... etc. kwa kweli naamini kila mwanamke ni tofauti..
 
sasa wewe ulimshaurije? mwambie hakunaga mapenzi mtu anapokutamkia kwa mdomo wake kwamba muachane, hamuwezi kwenda sambamba hata ulazimishe kivipi, ni kupotezeana muda tu na maumivu ya muda mrefu...mwambie ashike njia kwa sasa.

Nilimwambia anipe muda nitaongea nae leo jioni baada ya kupata maoni ya JF
 
Asante nyamayao ndo maana nakupenda sema tena kwa sauti kubwa watu wakusikie huku ndani yeye kuhamia kwangu au mie kubeba kisambusa na kuhamishia kwake hapana bado

na wadada cc tuna mambo sana, yaani unakusanya vi chupi na vi bra vyako huyoooo mbio kwa mwanaume ukajihifadhi....ndio matokeo yake haya.
 
kwangu ni BIG NOO rejea mada ya DENA ameongelea nyumba ndogo tutakuwa marafiki mpaka uchumba lakini sitaishi na wewe huo ndo msimamo wangu bahati nzuri nilishaolewa na sikuwahi kuhamia kwa Mr tulikuwa kwenye relationship for three years kwenda na kuondoka sawa lakini funga virago au yeye ahamie kwangu ilikuwa hapana

basi we ni kati ya wale wenye bahati .......
wengine hapa mpaka tuishi na mwaume tumjue vizuri ndo tuendelee mbele...
ni wachahe wenye bahati ambao wanakutana na wanaume zao wa ndoa in a first or second go...
 
Asante nyamayao ndo maana nakupenda sema tena kwa sauti kubwa watu wakusikie huku ndani yeye kuhamia kwangu au mie kubeba kisambusa na kuhamishia kwake hapana bado

Navyofahamu jamaa ndio alimlazimisha binti ahamie kwake na nyumba aliyokuwa amepanga akairudisha sasa kashakolezwa anabwagwa wanaume hawa jamani mie hata hamu nao sina kabisa
 
jamani napita tu,nilikuwa nachungulia tu!naona nimeingia choo cha kike !samahani wapendwa!!!!
 
basi we ni kati ya wale wenye bahati .......
wengine hapa mpaka tuishi na mwaume tumjue vizuri ndo tuendelee mbele...
ni wachahe wenye bahati ambao wanakutana na wanaume zao wa ndoa in a first or second go...

Kama ukweli vileeeeee
 
Navyofahamu jamaa ndio alimlazimisha binti ahamie kwake na nyumba aliyokuwa amepanga akairudisha sasa kashakolezwa anabwagwa wanaume hawa jamani mie hata hamu nao sina kabisa

Dena....wanaume ni watu wa kujaribu, akifanikiwa na kama alikuwa serious na wewe sawa, hata mie mr wangu alijaribu hayo mambo ya kukaa pa1 kwake wakati wa urafiki/uchumba, niligoma kabisa, naenda kumbonji na kesho yake kiguu na haikuwa mazoea ya kila wakati, ni mpaka na mie nijickie mpaka alipohalalisha, na ukiondoka kwake huachi hata ka lip shiner...ya nn?...sasa huyu ndio akachukulia makazi ya kudumu....cmlaumu mwanaume hata kidogo...WANAWAKE TUWE NA MCMAMO NA TUJITAMBUE PIA.
 
kama unampenda someone , u must let him/her go. kama yupo kwa ajili yako he/she will come back 2 u. Kwa sababu ukimng'ang'ania na huku unajua fika kwa kuwa na wewe he/she is not happy then utakuwa humpendi, kama unampenda huwezi muacha aumie kwa kumkosa ampendaye.
 
jamaa ni mstarabu kamaaa amemwambia ukweli.chamuhimu huyo msichanaa achukue yake...kwani mapenzii sio lazimaaa banaaaa.
 
if u luv someone u must let him/her go, kama yupo kwa ajiri yako he/she will come back 2 u. Kama unampenda mtu alys utapenda awe na furaha na apate anachikipenda, so ukimkosesha hivyo utakuwa humpendi.
 
Haya ujumbe nitaufikisha
 
Back
Top Bottom