Dena Amsi
R I P
- Aug 17, 2010
- 13,081
- 4,271
Jamani mie nauliza nipate kufahamu kuna rafiki yangu anaishi na mwanaume (hawajafunga ndoa) Jana kanipigia simu kuwa huyo jamaa kapata nyumba ndogo na anamwambia kuwa waachane lakini mdada bado anampenda sana jamaa. Swali ni kuwa anashindwa kumuacha sababu anampenda sana jamaa anashindwa afanyeje?
Mie nikaona leo niilete hapa. Mbaya zaidi jamaa amebadilika sana.
Tumshauri Wakuu
Mie nikaona leo niilete hapa. Mbaya zaidi jamaa amebadilika sana.
Tumshauri Wakuu