Brigedia Chan-ocha
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 1,353
- 2,851
Hakuna zawadi inayoshinda elimu... mtu akiamua kukupeleka shule kakupa zawadi kushinda zote...Unaogopa tu kumsomesha? Kuna watu wametoa vikuu zaidi ya hivyo na kumwagwa vile vile. Ndoa sio kombe kusema unamzawadia mtu.
Wana jf.
Napenda kupata maoni na mawazo mbali mbali toka kwenu, unaweza kumsomesha mchumba wako wa kike for instance, chuo cha ualimu au Nursing? hawezi kukusaliti baadae akisha pata kazi au akiwa huko?
Huwa nasikia kuwa kuna watu wengi sana walishatendwa wakati au baada ya kusomesha.
Maoni yako ni muhimu sana hapa.
Kwani wewe kuna malipo unayatarajia baada ya kumsomesha?? Ukiwaza malipo tu imekula kwako, we toa msaada kama unasaidia mtu mwingine yoyote especially ndugu yako. Hii itakusaidia pindi pakitokea jambo litakalokwenda kinyume na matarajio yako, hutaumia.
nimeshuhudia mwalimu wangu akisomesha kuanzia form one mpaka form four kwa makubaliano ya kuja kuweka mzigo ndani,
baadae mtoto wa watu akaonja matunda mema ya nje, akamruka mwalimu wangu wa soil profile maneenah zake,
mwalimu mpaka leo anaugulia makato ya mshahara aliyotumia kama ada....
dickhead.... wanawake ni kama biashara, usipokuwa na insurance unaumia mazima kabisa..!
dont trust too much, ndio maana wengine kwanza wanatiwa mimba na kuzalishwa ndio wanaanza sasa kusomeshwa
Ushaambiwa kila kitu na wachangiaji hao waliopita!!!
Wana jf.
Napenda kupata maoni na mawazo mbali mbali toka kwenu, unaweza kumsomesha mchumba wako wa kike for instance, chuo cha ualimu au Nursing? hawezi kukusaliti baadae akisha pata kazi au akiwa huko?
Huwa nasikia kuwa kuna watu wengi sana walishatendwa wakati au baada ya kusomesha.
Maoni yako ni muhimu sana hapa.
Mchumba ? NO ! Wanawake ni watu wabaya sana tena sana tena sana. Hawastahili kusaidiwa hata kidogo na ni wasaliti namba 1, kukubwaga ni jambo dogo sana na huwa hawakumbuki wema wala ihisani.
Let them go to hell.
Kumsomeshaje?
​
- Kutoa poketi mane
- Kulipia ada
- Kumfanyia mitihani
​Wanaume tuna mambo......