Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,945 Reaction score 193,992 Feb 21, 2017 #21 Napokuwa kazini muda wote nakuwa na simu yangu kwa sababu za kikazi... ila napotoka kazini sinaga muda na simu yangu kabisa... cc: Kasinde
Napokuwa kazini muda wote nakuwa na simu yangu kwa sababu za kikazi... ila napotoka kazini sinaga muda na simu yangu kabisa... cc: Kasinde
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 55,040 Feb 21, 2017 #22 Starehe yangu kubwa ni simu na mpira kwa hiyo nadhani una jibu kamili kuwa ninakaa muda gani
Inna JF-Expert Member Joined Jan 13, 2017 Posts 11,194 Reaction score 27,096 Feb 21, 2017 #23 Aisee na mpango wa kutumia simu toch yangu tu, mana naona hii ishanifanya mtumwa
Arafat Bahdellah Member Joined Jan 15, 2013 Posts 77 Reaction score 28 Feb 21, 2017 #24 Smart911 said: Napokuwa kazini muda wote nakuwa na simu yangu kwa sababu za kikazi... ila napotoka kazini sinaga muda na simu yangu kabisa... cc: Kasinde Click to expand... Umeshinda vita mkuu kama unatumia simu kwa mtindo huo
Smart911 said: Napokuwa kazini muda wote nakuwa na simu yangu kwa sababu za kikazi... ila napotoka kazini sinaga muda na simu yangu kabisa... cc: Kasinde Click to expand... Umeshinda vita mkuu kama unatumia simu kwa mtindo huo
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 61,236 Reaction score 98,436 Feb 21, 2017 #25 Mimi simu imenitumbukiza
Mwafwaa JF-Expert Member Joined Jan 9, 2017 Posts 452 Reaction score 239 Feb 21, 2017 #26 Mi naweza nisiishike masaa 8. Usiku nimelala
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,787 Reaction score 1,251,526 Feb 21, 2017 #27 Dakika tano tu.