Unaweza kujichukia

Unaweza kujichukia

Companero

Platinum Member
Joined
Jul 12, 2008
Posts
5,609
Reaction score
1,738
Ndio. Kijana rijali na mtanashati mwenye haiba yenye mvuto. Anayejipenda na kupendeka. Yeye naye anaweza kujichukia nafsini. Hasa akipigwa vibuti mfululizo. Kiooni akijitizama huishia kujiona mnyonge na mbaya. Lo, yote kisa kukataliwa na kumwaga mara kwa mara. Ipende nafsi yako kama umpendavyo umpendaye. Tulia, ugulia. Jipange kwanza. Chukua hatua. Baadaye.

 
Last edited by a moderator:
Why does it so bad if you dont love the person anymore? Its good to learn how to hate and neutralise the hatrage.
Mahusiano hayawezi kuponya moyo ulioumia, pona kwanza. Ukiingia uhusiano mpya na lots of garbage from the previous one hata huwezi kufurahia.
 
umia sasa,jipanguse simama,jisamehe,nyanyuka,piga hatua nyingine,penda tena!
thats my theory!
BTW kwa nini madhaifu ya mtu mwiingine yaani kushindwa kwake kupenda na kujali wanaompenda yakuumize,u have an ability to love ,then use it!furahia hisia zako!
 
Why does it so bad if you dont love the person anymore?Its good to learn how to hate and neutralise the hatrage.
Mahusiano hayawezi kuponya moyo ulioumia, pona kwanza. Ukiingia uhusiano mpya na lots of garbage from the previous one hata huwezi kufurahia.

Rekebisha hiyo sentensi yenye rangi nyekundu.

Halafu "hatrage" maana yake ni nini?
 
umia sasa,jipanguse simama,jisamehe,nyanyuka,piga hatua nyingine,penda tena!
thats my theory!
BTW kwa nini madhaifu ya mtu mwiingine yaani kushindwa kwake kupenda na kujali wanaompenda yakuumize,u have an ability to love ,then use it!furahia hisia zako!

 
Last edited by a moderator:
Why does it so bad if you dont love the person anymore? Its good to learn how to hate and neutralise the hatrage.
Mahusiano hayawezi kuponya moyo ulioumia, pona kwanza. Ukiingia uhusiano mpya na lots of garbage from the previous one hata huwezi kufurahia.

 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom