Abtali Mwerevu
JF-Expert Member
- May 5, 2013
- 796
- 707
1
Heh😱waumini mtatafuta?kwani mnataka wawalipe? Nyie si mfungue tu kisha mahubiri yenu yatawavuta?😉kama una mwamini MUNGU na ni mkiristo wa kweli njoo tufanye kazi ya kumtangaza bwana. sehemu ya kusalia ipo... waumini tutatafuta.
mawasiliano;
watsapp, sms, call - 0754 89 53 21
Kwahiyo wewe ni Yesu?Yesu hakuanza kuhubiri kabla ya kutafuta wanafunzi wake kumi na wawili mkuu.
Changamkia fursa mkuuJPM umebana sana hali inazidi kuwa mbaya
baba heading ume ielewa ?? kwani hakuna wahubiri wazuri ambao wajaenda vyuo kumhubir mungu lazima uka someee gooosssh!!;!Hiyo huduma ni ya wito mkuu, sio kirahisi hivyo kama unavyodhan, naweza kuwa na uwezo wa kuhubir lakn kama sina wito ndan yangu, ni kaz bure coz taishia njian, kuwa kiongoz wa kiroho kuna principle zake usidhan unaowaona wote wanahubir ukadhan walikurupuka, wingi wa bajaj barabaran haimanishi kuwa bajaji zinauzwa bei rahisi, unaowaona wachungaj leo wamepitia kwenye vyuo vya mafunzo ya biblia, hawakukurupuka na kuanza kujenga makanisa hovyo, hata wingi wa mabaa mitaani kwetu haimaanishi watu wanakurupuka kujenga mabaa, kuna process wanafuata then ndio inakua baa kamili, je huyo unaemchukua unampeleka chuo cha biblia au ndo anaanza kuhubir hapo kanisan kinondon,
My take: endelea kutangaza neno la MUNGU kama ni wito wa MUNGU utawapata tu watakaosaidiana nawe lkn sio kutafuta hivo as if ni kama biashara unatafuta customers
Hiyo huduma ni ya wito mkuu, sio kirahisi hivyo kama unavyodhan, naweza kuwa na uwezo wa kuhubir lakn kama sina wito ndan yangu, ni kaz bure coz taishia njian, kuwa kiongoz wa kiroho kuna principle zake usidhan unaowaona wote wanahubir ukadhan walikurupuka, wingi wa bajaj barabaran haimanishi kuwa bajaji zinauzwa bei rahisi, unaowaona wachungaj leo wamepitia kwenye vyuo vya mafunzo ya biblia, hawakukurupuka na kuanza kujenga makanisa hovyo, hata wingi wa mabaa mitaani kwetu haimaanishi watu wanakurupuka kujenga mabaa, kuna process wanafuata then ndio inakua baa kamili, je huyo unaemchukua unampeleka chuo cha biblia au ndo anaanza kuhubir hapo kanisan kinondon,
My take: endelea kutangaza neno la MUNGU kama ni wito wa MUNGU utawapata tu watakaosaidiana nawe lkn sio kutafuta hivo as if ni kama biashara unatafuta customers
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]JPM umebana sana hali inazidi kuwa mbaya