Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,170
- 6,337
Hongera..Kuna watu hata kutembea juu ya tofali zilizolazwa hawawezimeditation hiyo rahisi iwapo una uwezo wa kuongea na akili yako. Binadamu ana uwezo mkubwa sana iwapo ataishirikisha akili yake asilimia 200, woga ndo hurudisha nyuma uwezo wa mwanadamu.
Mie naweza kutembea juu ta kamba ila kuchutama hivyo sijajaribu.
Kasie
Kweli WOGA, ni miongoni mwa Maadui wakubwa katika maisha ya mwanadamumeditation hiyo rahisi iwapo una uwezo wa kuongea na akili yako. Binadamu ana uwezo mkubwa sana iwapo ataishirikisha akili yake asilimia 200, woga ndo hurudisha nyuma uwezo wa mwanadamu.
Mie naweza kutembea juu ta kamba ila kuchutama hivyo sijajaribu.
Kasie