Unaweza kuamini kisa hiki ni cha kweli?

Unaweza kuamini kisa hiki ni cha kweli?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,037
Reaction score
34,742
kunaa jamaa alifungwa miaka saba kwa kosa la wizii wa mamilion ya mapesa alioiba sasa kapokea baruwa kutoka kwa baba ake >

mwanangu umri wangu mkubwa niko mgonjwa na msimuu wa kulima umefika lau ungekuwa njee ungenisaidia kulima >mtoto ajibu baba

kwa hisani yakoo wacha usilime lile shamba kwa sababu pesa nilioiba nimezificha ktk shamba na hapa baruwa nikikujibu yasomwa na askari

magereza >>bac asubuhi baba kuamka akuta kama askari mia washalima lile shamba na pesa hawajazipata >baruwa ya mtoto baba nahisi

msaada niliokupa umekutosha sasa lima mchele,maharage na mahindi >ujanja kuishi mjini kuwa na akili baci baba kapona ciku hiyoo hiyoo


na mkee mwenginee kaongezaa
 
Hapana siwezi kuamini

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom