Unaweza kuamini hii picha .........

Dah!..Picha naiamini mkuu ila kilichopo kwenye picha ndio nimeshindwa kukiamini
 
Kwanini tusiiamini? Simba hula na hushiba kama wanyama wengine.Hata paka humsukuma panya anapokuwa ameshiba
 
Akiwa ameshiba hana taabu, hawana tabia ya kujilimbikizia, anawinda anapokuwa na njaa tu
 
Simba hapo mawazo yake wala hayapo kwenye maji,anawaza tu atakavokula filigisi na maini ya huyo dogo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…