Unawakumbuka hawa?

Eti eeeeh!Mbona ofisini kwako haukai ukatulia?Nilipita hapo leo nipate ushauri kidogo but haukuwepo watu8

Hata mimi nilitaka kukwambia hivi hivi kuwa weye hutulii ofisini kwako....

Maana nami nimepita hapo kutaka japo kukosha macho yangu tu kwa kukagua wako mwili...

Kumbe tumepishanaaaaaa!!!!
 
Hata mimi nilitaka kukwambia hivi hivi kuwa weye hutulii ofisini kwako....

Maana nami nimepita hapo kutaka japo kukosha macho yangu tu kwa kukagua wako mwili...

Kumbe tumepishanaaaaaa!!!!

Mie nimetoka ofisini mda wa lunch nikasema japo huo mda wa lunch nije nipate ushauri kumbe looooh ndo mda huo unazungukia nanihiiii wako.....
 
Movie yao haichoki mpaka kesho

HUYO aliyeigiza kama Sarafina (LELETI KHUMALO) ni moja kati ya mastaa Sadly wanaoishi na Virusi vya ukimwi huko kwa MADIBA, mara ya mwisho kumuona ni kwenye Hollywood movie ya HOTEL RWANDA
 
Mie nimetoka ofisini mda wa lunch nikasema japo huo mda wa lunch nije nipate ushauri kumbe looooh ndo mda huo unazungukia nanihiiii wako.....

Basi ngoja nikufuate huko sasa atiii....
 
HUYO aliyeigiza kama Sarafina (LELETI KHUMALO) ni moja kati ya mastaa Sadly wanaoishi na Virusi vya ukimwi huko kwa MADIBA, mara ya mwisho kumuona ni kwenye Hollywood movie ya HOTEL RWANDA

Hiyo Ni Kweli Mkubwa SARAFINA NI HIV POSITIVE.
 
Hahahahaaaa huyo madame namzimia kwenye move yake ya act sister
Whoopi Goldberg kweli. Mimi naipenda sana sister act 2.

Unayoikubali wewe ni ipi katika zile mbili? ya casino anayoshuhudia mpenzi wake(jangili) anamuua jamaa kisha Whoopi anawakimbia majangili kuelekea kituo cha polisi kisha yule polisi mmoja anaenda mpa hifadhi kanisani.

Au ile nyingine Whoopi anakua mwalimu wa kwaya ya kina Lauryn Hill ambae ananyimwa ruhusa ya kwenda kushiriki mashindano ya kwaya na mama yake, ikafikia hatua Lauryn akafoji barua ya kupewa ruhusa na mzazi wake ili ashiriki mashindano mbinu iliyomsaidia akajiunga na wenzie kwa mara nyingine tena na akafanikiwa azma yake
 
Kaka Hiyo Kitu Nimeshahakikisha Kuwa Kweli.

Aisee hapana nimeangalia tena ilivuma nakumbuka back 2012 wakati huo lakini kumbe ukweli ni KUWA HANA HIV AIDS katika Maisha halisi "real life" ila kilichosababbisha hiyo gossip ni MOVIE yake aliyoigiza akiwa mwanamke wa kijijini aliyekuja kugundua ni HIV POSITIVE movie yenyewe hii hapa

Movie premiere

siku ya Ndoa yake ya PILI na ana watoto wawili huyu mama

Mume wake wa kwanza MBONGENI MGEMA ambae kwenye Sarafina alikuwa kama Constable Sabella

Alivyo sasa

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…