mtamanyali JF-Expert Member Joined Dec 6, 2011 Posts 1,161 Reaction score 616 Jun 15, 2013 #1 [h=5]Jamaa mmoja alikuwa safarini wakapita mbugani jirani yake akasema "unawaona wale simba?"jamaa akajibu "alaa kumbe wale ndo simba sasa pale kaseja ndio yupi?[/h]
[h=5]Jamaa mmoja alikuwa safarini wakapita mbugani jirani yake akasema "unawaona wale simba?"jamaa akajibu "alaa kumbe wale ndo simba sasa pale kaseja ndio yupi?[/h]
C Ctr JF-Expert Member Joined Mar 30, 2013 Posts 505 Reaction score 228 Jun 16, 2013 #2 Angemwambia Kaseja ndo yule mrefu tehe tehe