mi naoma hata jina lako ni mrangi kabisa...ungetuwekea avator kama ya preta kabisaa huyo mbishi akubali
Ndo naiweka hapa baada ya muda icheki Inkosaz!🙂
Duh....! Kweli wewe mchambuzi.....!Wanatoka wilaya ya KONDOA ambayo ina siri moja kuhusu jina la wilaya yao, kila ukiondoa herufi ya kwanza ya jina la wilaya hiyo unapata neno la kiswahili. Angalia mfano hapa chini:
KONDOA
ONDOA
NDOA
DOA
OA
A !!!!!!!!!!
Umenyumbulisha vizuri sana..... Nami nilipata kuwaonja warangi wa Kondoa.....! Kwa kweli ni balaa......! Mara nyingi unaishia kutotaka kumuoa, lakini kumuacha inakuwa ngumu kutokana na hali halisi......! nadhani wajua....!KONDOA sio mchezo! Uki -ONDOA tabia yao ya kufanya tendo la NDOA kwa kugusa tuu, maisha yao wameyatia DOA japo waoaji bado wana wa OA sana na kuwapa maksi za A kwa rangi na uzuri wa sura.
Duh....! Kweli wewe mchambuzi.....!
Umenyumbulisha vizuri sana..... Nami nilipata kuwaonja warangi wa Kondoa.....! Kwa kweli ni balaa......! Mara nyingi unaishia kutotaka kumuoa, lakini kumuacha inakuwa ngumu kutokana na hali halisi......! nadhani wajua....!
-wachagga wezi
-wanyakusa wakabila sana
KAribu Tanga mzee hiyo yote uliyokutana nayo huko ni part gazeti................................
Vipi kuhusu wahaya, wamakonde, wagita, wakinga, wahehe na wengine tusiowataja. Tabia hutegemea malezi bana. Nilikuwa Bukoba juzi nikaambiwa ukitongoza binti akakukataa nenda kaogee JIK lazima una mkosi, ile kuita tuuuuuuuuuuuuu swali nije saa ngapi?
takwimu za makabila zinasemaje au ni kutokutembea na kujionea wengine wanaishije. Nimepita mikoa yote ya bara na nimebahatika kugonga kila mwenyeji tena kiulainiiiiiiiiiiiiiii ili nijenge mtandao. Hapo je?
Kimolo! Unanikumbusha jina la Mzee Kimolo, alikuwa mganga kipindi cha nyuma maeneo ya Kwamtoro Kondoa. Wewe ni wa wapi? Kilema. Kolo, Haubi?
Wanatoka wilaya ya KONDOA ambayo ina siri moja kuhusu jina la wilaya yao, kila ukiondoa herufi ya kwanza ya jina la wilaya hiyo unapata neno la kiswahili. Angalia mfano hapa chini:
KONDOA
ONDOA
NDOA
DOA
OA
A !!!!!!!!!!
Tanga rahaaaa au sio Shossi....
-wachagga wezi
-wanyakusa wakabila sana
aka majala.... ukatu'ula ai' vamaka vasina maana aiVipi kuhusu wahaya, wamakonde, wagita, wakinga, wahehe na wengine tusiowataja. Tabia hutegemea malezi bana. Nilikuwa Bukoba juzi nikaambiwa ukitongoza binti akakukataa nenda kaogee JIK lazima una mkosi, ile kuita tuuuuuuuuuuuuu swali nije saa ngapi?
takwimu za makabila zinasemaje au ni kutokutembea na kujionea wengine wanaishije. Nimepita mikoa yote ya bara na nimebahatika kugonga kila mwenyeji tena kiulainiiiiiiiiiiiiiii ili nijenge mtandao. Hapo je?
Kimolo! Unanikumbusha jina la Mzee Kimolo, alikuwa mganga kipindi cha nyuma maeneo ya Kwamtoro Kondoa. Wewe ni wa wapi? Kilema. Kolo, Haubi?
sio msandawe halisi ati... he is below sea levelHivi wana JF hatuwezi hata siku moja kuheshimiana na kuacha kukandya makabila ya wenzetu? Naona kama hii tabia ndiyo inayofanya wageni kuja na kutudharau na kuchukua rasilimali zote hapa nchini
I have observed a trend that we either degrade/belittle each kijinsia au kikabila... na kibaya zaidi kidini.
Na hili nalo tutalalamikia CCM? au ni laana fulani? Hakuna kabila tanzania lisilo na watu warembo, waaminifu, wenye roho nzuri, maumbile bora, akili za maisha na darasani nk. pia the opposite
Tunyanyuane na sio kushushana jamani