Unawafahamu warangi?

Mmesahau wengi kichwani weupeee peee/akili za class hamna kitu. Ndio house galz product shizzle
 
Ukioa mrangi, ni sawa na kuoa ukoo mzima.
Wote watahamia kwako.
 
Sounds like a promo, sina mbavu.

Mkuu acha tu si promo ni mambo flani ya ujana mpaka unaweza dhania ni uwenda wazimu tehe. Arusha ukienda watu watakuonya kwamba angalia kuna wanawake wa kirangi wazuri tu lkn usiguse maana ni moto chini mnooo. mitaa ya Ngarenaro, matejoo ile barabara mpaka majengo na mbauda ikifika jioni utawakuta wamekaa njee wanawakaa ni wazuri kwa kweli kwa muonekano lkn biashara imewajaa, siwapondi la ndo hali halisi ilivyoo
 
hebu wekeni habari zidi kwa wale mnaowafahamu hao watu...hilo a ndumba ni kweli jamani???? mbona itakuwa hatari sasa!!!! vipiukishamwoa halaf ukawa ni mtu wa kusafirisafiri hapo imekaaje????
 
Mmesahau wengi kichwani weupeee peee/akili za class hamna kitu. Ndio house galz product shizzle

hapo kuna ka ukweli fulani...sasa wakiwa mahouse gal mabosi wao si wanawamega mno??? maana mmesema ni warembo sana!!!
 
Wanawake hupendelea kufanya biashara za kuuza vitu vidogo vidogo jioni kama samaki na karanga kwa mwanga wa koroboi. Hawa ukuoa hata kama una kila kitu, ukimzua kufanya biashara zake pembeni ya barabara atakuacha penda usipnde.

hap kwenye suala la biashara naweza kupingana na wewe...mbona kuna jamaa kaowa lakini demu wake hafanyi biashara?
 
Kwa nyongeza tu, Wanaume wao hupenda sifa sana hasa akizikamata.

Kazi kweli kweli.... Kwa ujumla wake..... WARANGI NI WAZURI SANA KWA SURA, NA HATA HUWEZI FANANISHA NA WACHAGA HATA KIDOGO...... HAWA NI BALAA
 
jamani watanzania kwa kupakaziana siwawezi

maana kila kabila silo. mlianza na wahaya, mkeenda kwa wachaga, mkeenda kwa wa wasukuma kwa kweli hakuna kabila lililo salama

na ukimchunguza sana bata utashindwa kumla
 
hapo umenena mkuu...lakini achatumbiwe ukweli ili tuchague mbichi na mbivu
 
umefanay utafiti wa kutosha juu ya hayo makabila mengine?
 
Hapa bila utafiti ninauhakika utulivu ni F
 
ukimpangisha mmoja chumba jua umepangisha okoo kabla zima. Kili mrangi atakaye kutananae mjini ni nduguyake na atahaia getho.
 
kila familia lazima iwe na mtoto wa kike anayeitwa hadija.tehe tehe tehe tehe tehe teheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
 
Lolpop= yaan pp kijiti. Tamu sana inafananishwa na warangi. Not sure
 
Majina yao wengi ni majina ya siku za wiki kama:

Jumanne
Tatu
Pili
Jumapili
 
Kuna Basi lao lilikuwa linatoka Kondoa Dar Yarab Salama.....na ''kamujingijingi Imamba sana''
 
Kuna Basi lao lilikuwa linatoka Kondoa Dar Yarab Salama.....na ''kamujingijingi Imamba sana''

hahahahaha kamujingijingi saidi ilomo,kumbe mkuu unawajua sana wamefilisika wote hawa na utajiri wa kulala na mabinti zao
 
Nawajua sana na tabia zao si nzuri kwanza wakifanikiwa wanatabia ya Roho ya kwanini wanataka wape wao tu Shosti
hahahahaha kamujingijingi saidi ilomo,kumbe mkuu unawajua sana wamefilisika wote hawa na utajiri wa kulala na mabinti zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…