Unawafahamu Vipi Wairani?

Unawafahamu Vipi Wairani?

Wanaoshambuliwa ni Shia muslims. Sunni wakiongozwa na Saudia, washakuwa compromised kitambo.
Hawa wakiwa katika Bus moja wanasafiri utasema ni jamii gani? I mean ni Waislam au Shia na Sunni!
 
nadhani nikiwa rais nitapiga marufuku kujadili maswala ya nchi yeyote nje ya africa ,tujikite kwenye umaskini wa burundi ndo jambo la msingi
Nashukuru sana hutakuwa na naomba usiwe!
Suala kama hili unaachaje kulizungumzia au kufuatilia! Leo hujui umeshalipa gharama ya hiyo vita.
30% ya Oil supply ya dunia inapita Gulf ya Hurumuz , Iran wanataka kuifunga, wewe Tanzania utakuwa salama? Tangu vita imeanza hata sasa bei imependa kwa dola zaidi ya 6, unalipia wewe

Ni sawa na yule anayesema hashiriki siasa bila kujua anayempangia mshahara ni mwanasiasa.
Anayeamua bei za chakula chake ni mwanasiasa n.k.
 
swala la kufana diplomasia aliepukiki na ukweli kuwa tanzania haina uchumi wala ushawishi wowote kwenye hilo liko wazi ,sisi tuendelee kuboresha utafiti kwenye nishati mbadala wa mafuta ikiwemo kuuna umeme wa mito yetu ,mawimbi yetu baharini na walau kuhakikisha tunapata nishati kama gesi ya mbolea ijijini kwetu ,na kulima mazao ya kuzalisha mafuta ya umeme ili hayo mafujo yao yawe na madhara madogo sana kwetu,mfano kuwekeza mzigo wa kutosha kwenye watafiti wetu wa ndani ,kuruhusu watu binafsi wenye uwezo wa kuzalisha umeme wa kutumia viwanda vyao kwa vyanzo vyetu vya mito kuruhusiwa ,sisi maisha ya warundi yanauhusu kuliko ya israel iran na palestine,vifo vya watoto kongo ndo ishu yetu kuu.

mfano kuna wajinga walitoka na ujinga wao wa kujitolea ukraine kwenye vita toka africa walipofika kule waukraine vita ilipokolea wakawa wanahamisha watu kuwapeleka maeneo salama kwa treni ndipo waligundua waukraine waligoma kuwabeba waafrika wakawachukua ndugu zao tu na video google zipo.angalia hapa
View: https://www.youtube.com/watch?v=sAxnqbdhQ0c
 
Pole sana muirani mweusi,ila ogopa sana Nguvu ya magharibi wote wataipigia magoti.

Long live USA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom