Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,445
- 34,000
"Mimi nawafahamu Wacongo, Sudani na Somalia huko kote nikafate nini?"mimi na wafahamu wa congo,sudani na somaria huko kote nikafate nini
Resilient...Hongera sana Mohamed said!
Angalau wewe unaishi mkuu!Tena unaishi kweli kweli!!
Unaenda nankurudi na unaandika!what a life!
Big up sana mkuu!!
Mohamed
Sikubaliani na vita kwasababu ni maisha ya Wanadamu. Ni kweli kwamba kuna vita zinatengenezwa kwa masilahi fulani. Mathalani, Hamas walipovamia Israel Dunia nzima ililaani. Wapalestina wanapouawa kwa mabomu na njaa Dunia kimya. Juzi tu Iran imeshambuliwa Dunia Kimya si kama ilivyokuwa Ukraine.
Kuhusu vyombo vya habari nakubaliana nawe kabisa! Vyombo hasa vya magharibi vinatoa habari kwa masilahi yao. Mfano, kuna TV moja Marekani imewafukuza wale wote walohoji ukatili dhidi ya Wapalestina.
Wenyewe wanasema, kwa uliyoeleza '' I get it'
Kuna upande wa pili usio uongelea kama ambavyo vyombo vya magharibi vinavyofanya.
Sikubaliani nawe kwamba 'Vita ni kwasababu ya Uislamu wao''. Hata kama ni hivyo, mantiki inakataa
1. Saud Arabia ipo busy na Ibrahim accord na Israel. UAE na Nchi zimekaa kimya Wapalestina wakipigwa mabomu na kuuawa kwa njaa . Hakuna hata kikao cha kudanganya au kauli, na kama zipo ni za kujificha uani. Saud Arabia '' at the heart of Islam'' imekaa kimya bila kuongoza jitihada za kuwasaidia Wapalestina. Unawezaje kusema ni suala la Uislam !
2. Iran: Nchi zinazotoa 'logistic' za mashambulizi dhidi yake ni hizi
a. Saud Arabia inasaidiana na Marekani kutoa eneo kwa makazi ya base za Marekani
b. Jordan inasaidia katika kutungua makombora ya Iran na kutoa anag ndege zipite
c. Iraq ina kambi ya US inayotumiwa kwa mashambulizi Iran
d. Qatar ina US base kubwa middle east
Unaposema vita ni kwasababu ya Uislam, mbona mantiki inakataa!!!
JokaKuu
Nguruvi...Mohamed

Mohamed huu ni mnakasha, tatizo liko wapim Sheikh!Nguruvi...
Hapana tatizo.
Una haki na fikra zako.
Nguruvi...Mohamed huu ni mnakasha, tatizo liko wapim Sheikh!
Nimetatizika kidogo nahitaji msaada. Kwamba, Wanaoshambuliwa ni Waislam kwasbabu ya Uislam wao! kwa mujibu wako. Nami nauliza kwanini wanaosaidia mashambulizi ni Waislam? Uislam upi unashambuliwa?
Wanaoshambuliwa ni Shia muslims. Sunni wakiongozwa na Saudia, washakuwa compromised kitambo.Mohamed huu ni mnakasha, tatizo liko wapim Sheikh!
Nimetatizika kidogo nahitaji msaada. Kwamba, Wanaoshambuliwa ni Waislam kwasbabu ya Uislam wao! kwa mujibu wako. Nami nauliza kwanini wanaosaidia mashambulizi ni Waislam? Uislam upi unashambuliwa?
Gagnija,Wanaoshambuliwa ni Shia muslims. Sunni wakiongozwa na Saudia, washakuwa compromised kitambo.
Jambo lililonifurahisha kwenye hii vita ni uwezo wa makombora ya Iran kupenya ngome za ulinzi na kusababisha uharibifu mkubwa kwenye miji ya Israel.Gagnija,
Hakika viongozi wa nchi za Kiarabu wako kimya.
Watakuwa kimya kwa muda mrefu.
Lakini lipo ambalo halionekani lakini ipo siku litajitokeza.
Mwananchi wa kawaida katika nchi hizi anaungulia ndani
kwa ndani.
Huu ni moto wa makumbi.
Uko siku In Shaa Allah utajitokeza.
Gagnija,Jambo lililonifurahisha kwenye hii vita ni uwezo wa makombora ya Iran kupenya ngome za ulinzi na kusababisha uharibifu mkubwa kwenye miji ya Israel.
Vita hii isipomalizwa mapema inakwenda kuyavuta vitani mataifa yenye silaha za kinuklia.
Inatisha sana ukizingatia rais wa Marekani alivyo kibaraka wa Uzayuni.
Kweli!?Iran na Sudan zimetengwa kwa sababu ya Uislam wao.
Ozon,Kweli!?
Hakika, nina uhuru na haki kama ulivyo wewe. Hata hivyo, kuamini peke yake hakutoshi, tunaomba utuainishie hoja zako zinazounga mkono ulichokisema. Je, unazungumzia ukweli unaotegemea hoja na takwimu (facts), au ni hisia binafsi? Tunatarajia usaidizi wako katika hili, hasa wewe kama mkongwe na mzoefu katika jukwaa hili, ambaye tumemzoea kwa hoja zenye uzito na maarifa.Ozon,
Una uhuru na haki ya kuamini upendacho.
Ozon,N
Hakika, nina uhuru na haki kama ulivyo wewe. Hata hivyo, kuamini peke yake hakutoshi, tunaomba utuainishie hoja zako zinazounga mkono ulichokisema. Je, unazungumzia ukweli unaotegemea hoja na takwimu (facts), au ni hisia binafsi? Tunatarajia usaidizi wako katika hili, hasa wewe kama mkongwe na mzoefu katika jukwaa hili, ambaye tumemzoea kwa hoja zenye uzito na maarifa.