Dugu moja.... 45Naam
Aisee katika changamoto nazipitia katika haya maisha ni linapokuja swala la kiatu Cha kuvaa .
Nina miguu mikubwa sana mguu wa kushoto navaa namba 45 na wa kulia navaa namba 45 na nusu
Viatu vya mguu wangu gharama sana
Dukani ukitaka vile vya ngozi sio chini ya 100k
Na vya mtumba vya ngozi sio chini ya 35k
Vitu vya mtaani vile wanavyopanga vya buku kumi kumi havinifai maana stail yangu kutembea nashusha kishindo Cha haja ardhini .Nimejaribu sana kuacha hio tabia kutembea kiminyato[emoji3]nimeshindwa
Wakati mwingine naweza pata viatu hivyo vya saizi yangu still vinakuwa vinanibana bado[emoji45]
Hii ni kutokana na mguu wangu mmoja una dole kubwa sana na pana[emoji1787]
Daah Ni changamoto kweli
Wewe je unavaa sauzi gani ya kitu.?
Ni changamoto zipi unapitia?
Karibuni watanashati na wanalimbwende[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mguu wa Bata[emoji1787][emoji1787][emoji120][emoji123]45
Ila hata baadhi ta 44 navaa.
Nimekuhamu
Me too beib, nilijua umeniacha maana sio kwa mchuno huuNimekuham
Nakuachaje kwa mfano
Sawa mke
Picha ya mguu wako kama wa bata iko wapi?Naam
Aisee katika changamoto nazipitia katika haya maisha ni linapokuja swala la kiatu Cha kuvaa .
Nina miguu mikubwa sana mguu wa kushoto navaa namba 45 na wa kulia navaa namba 45 na nusu
Viatu vya mguu wangu gharama sana
Dukani ukitaka vile vya ngozi sio chini ya 100k
Na vya mtumba vya ngozi sio chini ya 35k
Vitu vya mtaani vile wanavyopanga vya buku kumi kumi havinifai maana stail yangu kutembea nashusha kishindo Cha haja ardhini .Nimejaribu sana kuacha hio tabia kutembea kiminyato[emoji3]nimeshindwa
Wakati mwingine naweza pata viatu hivyo vya saizi yangu still vinakuwa vinanibana bado[emoji45]
Hii ni kutokana na mguu wangu mmoja una dole kubwa sana na pana[emoji1787]
Daah Ni changamoto kweli
Wewe je unavaa sauzi gani ya kitu.?
Ni changamoto zipi unapitia?
Karibuni watanashati na wanalimbwende[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mguu wa bata au hauna uvungu MNA tabu haswaWatu wenye miguu midogo viatu vimejaa mtaani
Ila sisi wenye miguu kama ya bata Ni shida
Sent using Jamii Forums mobile app
45
Ila hata baadhi ta 44 navaa.
Hahahahah hapo kwenye Bata Ni nimenigesha tu IlaPicha ya mguu wako kama wa bata iko wapi?
[emoji2370]
Zipo dada kibao Ila sio rahisi kuzipataHivi kumbe zipo size 45?
Mie 42
Hata 44 hua navaa pia ila hakikai vizuri ni kufosi tu.Hivi kumbe zipo size 45?
Mie 42