Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,208
- 27,018
Mkuu ipo hiiHivi mbona miguu inatofautiana ukubwa
Watu wenye miguu midogo viatu vimejaa mtaani38 sina changamoto yoyote nayopata mana vitele vya kila design
Nina viatu nikivaa mguu mmoja unabana kidoleni wakati kingine kinakaa poa
😂😂😂😂😂et miguu kama ya bata umenichekesha, kuna kaka mmoja alikua anaoa tukachaguliwa kwenda kumtaftia bibi harus zawadi hatukujua size ya mguu wake ikabidi aulizwe akasema anavaa namba 41 tukachagua kuja kuvaa viatu bado ni vidogo ndionilipojuakuna watu wana miguu sio kawaidaWatu wenye miguu midogo viatu vimejaa mtaani
Ila sisi wenye miguu kama ya bata Ni shida
Sent using Jamii Forums mobile app
Hio hata Mimi ninayo mguu mmoja huwa unabana kwa viatu vingiNina viatu nikivaa mguu mmoja unabana kidoleni wakati kingine kinakaa poa
Sasa Mimi Nina 45 kwa 45 na nusu[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]et miguu kama ya bata umenichekesha,
kuna kaka mmoja alikua anaoa tukachaguliwa kwenda kumtaftia bibi harus zawadi hatukujua size ya mguu wake ikabidi aulizwe akasema anavaa namba 41 tukachagua kuja kuvaa viatu bado ni vidogo ndionilipojuakuna watu wana kiguu sio kawaida
Aiseee hahahhahaha pole lakini ndio majaliwa yako usijibeze hivoSasa Mimi Nina 45 kwa 45 na nusu[emoji1787]
Just imagine huo mkiatu halafu sasa Kama mtu ni mfupi anaoneka kavaa mijokeri[emoji3][emoji3]
Bahati nzuri Mimi Ni mrefu kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah hii assumption hii[emoji3][emoji3]Sisi wenye miguu mikubwa pia tuna sifa ya kumiliki miguu ya watoto.
If you want to Kill, KILL don't talk.
Mkuu acha kabisa, sisi wenye miguu kama bata tuna shida sana, yaani unapotafuta kiatu hutafuti unachokipenda bali unatafuta kinachokutoshaWatu wenye miguu midogo viatu vimejaa mtaani
Ila sisi wenye miguu kama ya bata Ni shida
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu kabisaMkuu acha kabisa, sisi wenye miguu kama bata tuna shida sana, yaani unapotafuta kiatu hutafuti unachokipenda bali unatafuta kinachokutosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake miguu yao midogo sanaHivi mbona miguu inatofautiana ukubwa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] we acha tu bossKweli mkuu kabisa
Yaani unaweza fika dukani unakutana na kiatu kizuri kweli nafsi imekipenda Ila Sasa hakikutoshi[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
BeybMkuu acha kabisa, sisi wenye miguu kama bata tuna shida sana, yaani unapotafuta kiatu hutafuti unachokipenda bali unatafuta kinachokutosha
Sent using Jamii Forums mobile app