Jumapili bado hujafua na j'tatu siku ya usafi basi asubuhi unakula mboko na kipindi cha kwanza tu darasani ni hesabu Teacher anauliza swali nani hajamaliza home work atoke mbele, mboko sitta na kabla ya mapumziko ulete daftari nione kama umeshafanya hesabu na ukikosea tena mboko nne nanga wewe
Hahahaha BOFA usipokuwa nayo kwenye mtihani wa four four plus FOUR FIGURE ulikuwa hata huruhusiwi kusogelea chumba cha mtihani.Hivi bado wanafunzi wa kileo wanatumia four figure ama ndiyo zilishapotea wanatumia mambo ya kidigitali zaidi
mkuu umenikumbusha machungu ya maisha !baba yangu aligoma kuninunulia kompasi kwa ajili ya mtihani halafu akamnunulia mdogo wangu rangi za kuchorea picha!I was so dissaponted.....!
Imeniuma sana!