Kwa kuongeza tu, chumvi, ndimu na nyanya huwa haziwekwi kwenye mtori.... na nyama zinazotumika ni za mifupa especially bone marrow, na zile zenye mafuta.
Pia step ya 9 na kumi hapo umechanganya, inabidi utumie pikichio i.e upikiche mtori kwa dakika kama kumi.
Last but not least.... ongeza damu kidogo (yes, damu mbichi), pikicha tena kwa dkika tano while heating.