Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 11,634
- 26,382
Wakuu,
Kila mtu ana ladha yake kwenye kuweka muito wa simu(ringtone),wengine hutumia ringtone zilizokuja na simu na wengine hutumia(local ringtone)yaani ile miziki alizohifadhi kwenye simu yake kutokana ya aina ya muziki anaopendelea,wengine huweka mahubiri,wengine sauti ya wanyama,background za movie nk.
Na kuna wale wa vibration full time(hawa ndio nahisi huwa hawapokei namba ngeni(sijui kwanini)
Pia,wengine huweka ili kutofautisha aina ya wapigaji kwenye simu yake.
Mimi natumia wimbo wa Man down wa Rihanna sababu unaanza na beat zuri lililochanganika na king'ora cha polisi hivyo ni rahisi kusikia.
Wewe unatumia ringtone ipi? na kwanini?
Karibu.
]