Unatumia mbinu gani kutatua changamoto hii!

Unatumia mbinu gani kutatua changamoto hii!

Doh!

Mawifi wanapata tabu Sana..

Wewe ni pasua kichwa
ila kuwaeka "wallpaper" nahisi ndio ninachoweza

nadhani ndio kinachowafanya wasini mind maana akishka simu

anakutana na msura wake umetanda pale juuuu "amani lazima imtawale"
 
ila kuwaeka "wallpaper" nahisi ndio ninachoweza

nadhani ndio kinachowafanya wasini mind maana akishka simu

anakutana na msura wake umetanda pale juuuu "amani lazima imtawale"

Mimi nilikuwa naweka hiyo wallpaper muda ule naenda kukutana naye tu, atakenua weee akisepa tu nabadili.... hawa viumbe waache tu.
 
ila kuwaeka "wallpaper" nahisi ndio ninachoweza

nadhani ndio kinachowafanya wasini mind maana akishka simu

anakutana na msura wake umetanda pale juuuu "amani lazima imtawale"
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ndiyo Nini kunichekesha hivi my friend...

Wallah akili zako wazijua mwenyewe..eti msura umetanda ...chaa!
 
Nikipost huwa naenda kwenye setting naweka aone yeye na marafiki zake tu.. akitaka screenshot nafanya editting inaonekana wameview watu 100+ kumbe kaona yeye na marafiki zake tu
Hahaaa! Ni kupindua meza kibabe
 
Hahaaa!mbinu hii inafanya kama kwa asilimia 100
Weka privacy tu kuna msichana mmoja alinipa tunda kiutan baada ya kuona kila siku namuomba picha alafu namueka status nikamwambiaga namkubali sana nikamwagia sifa zote ilikuwa kwa siku naweka status hata 5 ilifika kipind hata sijaomba picha natumiwa hapo hapo naweka status kumbe niliweka privacy alikuwa anaziona yeyepeke yake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Aisee! Ukidate na vi slay Queen ambavyo unataka uvipost kwenye WhatsApp status ni mtihani kweli!hasa pale unapokuwa una Mademu watatu sasa ukijifanya unapost kizembe huku kwingine wanapindua meza kibabe!

Mimi mbinu nayotumia nawablock kwanza kwa muda hao wawili na mashemeji uchwara kisha ndio napost baada ya masaa kadhaa nafuta status kisha Nina unblock, kisha napiga tena wengine block ya muda kisha napost mwingine!
Hiyo tulianza kuitumia zaman akati naolewa nlimblock hawara nikapost za husband baada ya wik nik unblock.......saivi nkimmiss hawara nablock husband 🤣 🤣 🤣
 
Unatatua changamoto hiyo kwa kutotoka na Vi slay queens basi!!
 
Sijakutana na hiyo changamoto,labda kwa sababu natembea na watu wazima
 
Date za watoto ndo huwa wanapostiana whatsap.Wakubwa tunatumia hela kuwapost MPESA tu wanatulia wenyewe.
Aisee! Ukidate na vi slay Queen ambavyo unataka uvipost kwenye WhatsApp status ni mtihani kweli!hasa pale unapokuwa una Mademu watatu sasa ukijifanya unapost kizembe huku kwingine wanapindua meza kibabe!

Mimi mbinu nayotumia nawablock kwanza kwa muda hao wawili na mashemeji uchwara kisha ndio napost baada ya masaa kadhaa nafuta status kisha Nina unblock, kisha napiga tena wengine block ya muda kisha napost mwingine!
 
Hiyo tulianza kuitumia zaman akati naolewa nlimblock hawara nikapost za husband baada ya wik nik unblock.......saivi nkimmiss hawara nablock husband [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
 
Kuna watu mna shida!!!! Hahaahaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom