ACHINJEMERE
Member
- Oct 19, 2014
- 42
- 19
Ni jambo jema sana siku izi ata wanawake wameanza kutongoza wanaume wanaowapenda.
Nasema ni jambo jema kwa sababu ya kupunguza jinamizi LA mfumo dume.
Kutongoza ni sanaa tam sana ukikuta mtu anaejua mwanzo, kati na mwisho kutongoza.
Na kutongoza ni jambo zuri sana kama unatongoza kwa malengo mazuri.
Ikumbukwe kwamba kila unapoona MTU mmoja basi ujue kua kuna mtu mmoja alitongozwa ilikupata uzao uo.
Najua hakuna kanuni ya mojakwamoja katika tutongoza kwa sababu, kutongoza kunategemea na mazingira halisi ya mke au mume ulikutananae.
Nataka kujua toka kwako unatumia maneno gani ya utanguliza yaani "introduction' ili kuteka usikivu kwa hadhira yaani me au ke.
NB
Kutongoza uku namaanisha ni makubaliano halali yatakayopelekea watu kufunga ndoa halali kulingana na dini zao au bomani.
Sijawalenga wale wazinzi.
Karibuni wake kwa waume mtupe maujuzi yenu yaliyopelekea kupata wenza mnaoishi nao.