Unatumia dakika ngapi kumalizia tendo?

Kuna wanaume wapumbavu sana, issue ni wewe na mwanamke mrizike, kama ni. Masaa 7 sawa, kama ni dakika 10 au moja nayo ni saqa
 
Maana yake mwanamke ambaye haumfeel sana unamaliza mchezo mapema ukilinganisha na unaye mfeel sana?
Sure, unaempenda kuna story matani hapa na hapa huku mnachapana, kisodogo utani anaitoa anakutania so mnajikuta mmetumia.. Mnajikuta hata nusu saa au saa ndio mnapiga mabao πŸ™‚πŸ™‚
 
Sure, unaempenda kuna story matani hapa na hapa huku mnachapana, kisodogo utani anaitoa anakutania so mnajikuta mmetumia.. Mnajikuta hata nusu saa au saa ndio mnapiga mabao [emoji846][emoji846]
Okay, nilijua mtu ukiwa unampenda hisia zipo juu inapelekea ku fika fasta. Ukiwa haumpendi nikajua inachukua muda maana hisia ni zakutafuta.
 
Okay, nilijua mtu ukiwa unampenda hisia zipo juu inapelekea ku fika fasta. Ukiwa haumpendi nikajua inachukua muda maana hisia ni zakutafuta.
Tafiti zangu malaya, malaya wauzaji wanatiwa short time hakuna anae enda mgonga malaya shortimw akatumia dk 20, wengi dk 5-10.. Mtu anaitune akili kisawa sawa kidogo tu wajapan hao.. Ila mwenye feeling nae. Michezo mingi sanaa.. Zamani nilikuwa najiuliza why mtu flani chap na simpendi ila kwa flani nilie kuwa nampenda sana ilikuwa tifu tifu hasaa..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…