Fuatiia utajuaMh! mi simjui huyo...
Uzi ufungweTatizo badala ya kutumia ulimbo wa kizungu, wewe unatumia maneno tu..
Mkono mtupu haulambwi sheikh...
😂😂😂😹😹😹 Ilitakiwa akuwashe na kofi kuonyesha msisitizo..!!
Soma comment ya 8 peoples ina jibu lako murua..!! Wanawake wa dar tofauti na wa bush, wako nje ya muda wakiona unawasemesha hovyo road wanajua wewe mwizi au kibaka..!!
Sawaa 😂😂😂wewe nawe ndo walewale tu..
hili nalo ndo yaleyale nani kakuambia nilimtongoza barabarani..?😹😹😹 Ilitakiwa akuwashe na kofi kuonyesha msisitizo..!!
Soma comment ya 8 peoples ina jibu lako murua..!! Wanawake wa dar tofauti na wa bush, wako nje ya muda wakiona unawasemesha hovyo road wanajua wewe mwizi au kibaka..!!
Of course umekataliwa ndio maana umekuja hapa,na ni kweli hiyo sio tabia nzuri unatongozwa kimya kimya wewe unakataa kwa kubwatuka.Huo ni udhaifu mkubwa na si staha hata kidogoMidada myengine inamambo ya ajabu lijitu unalitongoza kwa staha na ukimya ila lenyewe likiwa limekoswa ustahimilivu linakujibu kwa kubwatuka kwanguvu!, ni kama vile limepewa kipaza sauti ama tupo kwenye mkutano wa hadhara kila mtu anahitaji kusikia!!.
Sio tu habari kusambazwa mtaani mpaka mitandaoni!, huu sio ustaarabu kama mmeamua kuwa vyombo vya habari mseme ili nasisi tuanze kutongoza kwa vipaza sauti!.
Mtasema nang'aka kisa nimekataliwa, hapana na kukataliwa ni sehemu ya maisha lakini ndo mtu ukatae mpaka mishipa yashingo ikukakamae..!!
Hii tabia inachagizwa na nini?, mnashida gani au ndio style mpya ya kujibu watu hivyo..?
Sasa hasira zako za kukataliwa usiniletee mimi nyoko weeh..!! 😹😹😹hili nalo ndo yaleyale nani kakuambia nilimtongoza barabarani..?
Momy muda si mrefu utakula ngumi...😂Sasa hasira zako za kukataliwa usiniletee mimi nyoko weeh..!! 😹😹😹
Huyo mwanamke unataka kusema ulimtongoza ndani ya ndege au?
Hakuna mwanamke utakayemtongoza sehemu za heshima akakujibu kwa kubwata au kupayuka..!!
Hizo ni tabia za watu wa uswahilini buza na vingunguti..
Kubali tu ewe kenge motoniUna mtongoza ana chukua muda mrefu, ila akipata mimba ana taka ukubali haraka.