Unatongoza vipi mwanamke aliyekuzidi kwa kila kitu?

No matter mwanamke yukoje either kwa uzuri au kwa utajiri na cheo, ukimuendea kwa kujiamini huwa ni wepesi sana, pesa na uzuri hazibadili chochote kwa mwanamke!

Mm najiamini sana, hii ni tangu nikiwa mdogo, huwa sina uoga, kuthibitisha hilo nikiwa form 1 nimewahi kumtongoza second master ambae alikuwa anaogopwa hata na baadhi ya walimu wenzake kwa ukali na uzuri wake....alinizungusha sana hadi kufikia form2 nikakabidhiwa mzigo rasmi!

Kwa taarifa yako Wanawake wanapenda sana mwanaume anaejiamini#???

Kha! Form One kweli unaanza kuwaza mapenzi??...hii si ni miaka 12, 13 , au 14 kwa kukadiria...baadhi ya watu wanaanza mapenzi mapema sana
Hiyo Form two uliweza kweli kuperform kweli ulipopata hiyo fursa???? au .... Da! Kujiamini huku kumepitiliza.
 
Au BIGURUBE una lengo ya kuchangasha tu jukwaa. manake hmm!! Form 1 ni watoto wadogo sana kiumri hata kimwonekano....
 
Bado hujapata jibu mkuu au umeenda kwenye mafunzo kwa vitenndo?

Hivi umemwita mzee mwenzangu Asprin ashuhudie hili tukio ambalo lina mvuto wa aina yake?

Mkuu nimepitia moja baada ya nyingine nataka nijianda kwenda Dodoma maana mhusika yupo mjengoni ila anatembea na mabodigadi sasa sijui itakuwaje anyway hivohivo! Asprin kakaa hata kunipa mauzoefu yake kimya mtu huyu ni wa hovyo!

No matter mwanamke yukoje either kwa uzuri au kwa utajiri na cheo, ukimuendea kwa kujiamini huwa ni wepesi sana, pesa na uzuri hazibadili chochote kwa mwanamke!

Mm najiamini sana, hii ni tangu nikiwa mdogo, huwa sina uoga, kuthibitisha hilo nikiwa form 1 nimewahi kumtongoza second master ambae alikuwa anaogopwa hata na baadhi ya walimu wenzake kwa ukali na uzuri wake....alinizungusha sana hadi kufikia form2 nikakabidhiwa mzigo rasmi!

Kwa taarifa yako Wanawake wanapenda sana mwanaume anaejiamini#???

Huu sasa uongo khaaa
:crazy::crazy::crazy::crazy::smash::smash::smash::smash::poa:poa:poa:poa
 
Kadri mwanamke anavozidi kuwa mzuri sana au kuwa na pesa sana
au kuwa na akili za darasani nyingi sana...ndio anazidi kuwa insecure....

mwanamke akiwa insecure anatongozeka kirahisi....

Kuna tatizo gani mwanamke hakikuzidi mali, elimu na akiwa mzuri. Sioni tatizo, ila tatizo ni kwa wanaume wasiojitambua kuwa wao ni wanaume na kushindwa kushika nafasi zao tu. Education, wealthy and beauty have nothing to do with relationship. Tatizo ni wahusika mmoja akikosa kujitambua na confidence ndio shida. Cheze kwanza na ukombozi wa fikra na mitazamo yako. Ndoa ngapi zina matatizo na wanawake walioko kwenye ndoa hizo hawajaenda shule au hawana mali. tatizo ni tabia ya baadhi ya wanaume kutaka kudominate wanawake na kufanya ujinga wanavyotaka.
 
Kwakweli hili tukio la kihistoria. Yani hapa Simba anaomba ushauri wa uwindaji kwa fisi......

Kama ni ni yule aliyebadili vyeo ndani ya miezi mitatu na akaukwaa unaibu..... nakutakia kila la kheri. Mbinu za kumnasa ntakugea private. Masimba menzio yasije yakakuwahi.

Na umeona jinsi huyu mdau KakaKiiza alivyowarushiwa watu mtego na kuingia mitini?

Hapa kuna ka-issue kanatukimbilia...ila tutajua tu kwa sababu kwa 1947 group, hatujaanza leo kukutana na mambo kama haya!
 
Last edited by a moderator:
:crazy::crazy::crazy::crazy::smash::smash::smash::smash::poa:poa:poa:poa

Kumbe mshikajia nataka aka-Tulie huko Dom....

Sie yetu macho....Nondo za kutosha keshapata. Jambo la msingi ajitahidi material yasijekupeperuka akaanza kuhesabu mabati kama enzi zile tunafanya paper za additional maths!!

cc KakaKiiza
 
Last edited by a moderator:
Au BIGURUBE una lengo ya kuchangasha tu jukwaa. manake hmm!! Form 1 ni watoto wadogo sana kiumri hata kimwonekano....

Umemuuliza alikuwa form one mwaka gani? Wenzio tulikuwa form one na zaidi ya miaka 20 na tulikuwa na mate wetu ana kama miaka 27!
 
Nakubaliana na wewe lakini ujue mtu mwenye pesa,madaraka hawa watu kukutana nao katika hali yakawaida ni mara chache sana hivyo inakubidi ufanye timing sana other wise unaweza kuumbuka ukaonekana wewe ni muhuni!

Ni kweli, lkn hata wao ni binadamu wanazo hisia za kupenda na kupendwa pia. Na ndio maana mara nyingi hudondoka kwa wale walio karibu nao mfano madereva, walinzi nk. Anyway, kama unawahitaji wa aina hiyo jitahidi kujenga mazingira ya kuwa karibu na wanawake wa aina hiyo, ikibidi hata kuomba kibarua kwao.
 
kikubwa ni kujiamini. wanawake wa namna hiyo wengi wao wanapenda mwanaume anaejiamini na mwenye msimamo.
 
Kadri mwanamke anavozidi kuwa mzuri sana au kuwa na pesa sana
au kuwa na akili za darasani nyingi sana...ndio anazidi kuwa insecure....

mwanamke akiwa insecure anatongozeka kirahisi....

how the boss ?, maana nimuhanga hapo
 
Kadri mwanamke anavozidi kuwa mzuri sana au kuwa na pesa sana
au kuwa na akili za darasani nyingi sana...ndio anazidi kuwa insecure....

mwanamke akiwa insecure anatongozeka kirahisi....

Surely, na tatizo wanaume wengi huwa hawalitambui hilo. Kwa hiyo wanawakimbia au kuogopa kuwatokea wanawake wa namna hii.

Nijuacho mimi, mwanamke wa namba hii unachotakiwa kuwa nacho ni U gentleman tu, halafu upate nafasi ya kufahamiana naye. Kwisha kazi. Yaani kama unamsukuma mlevi vile!
 
Kadri mwanamke anavozidi kuwa mzuri sana au kuwa na pesa sana
au kuwa na akili za darasani nyingi sana...ndio anazidi kuwa insecure....

mwanamke akiwa insecure anatongozeka kirahisi....

The Boss himself. Mzee wa ma experience.
 
Labda wacha niongeze tu kidogo.
Siku zote ukiwa unamtokea demu kama huyo wala huhitaji kuonesha uko serious saanaaaa.
Ingia kwa gia namba moja tu. Ukiingia umepania sana kama zile njemba za kanda ya ziwa utatoka na manundu.
 
No matter mwanamke yukoje either kwa uzuri au kwa utajiri na cheo, ukimuendea kwa kujiamini huwa ni wepesi sana, pesa na uzuri hazibadili chochote kwa mwanamke!

Mm najiamini sana, hii ni tangu nikiwa mdogo, huwa sina uoga, kuthibitisha hilo nikiwa form 1 nimewahi kumtongoza second master ambae alikuwa anaogopwa hata na baadhi ya walimu wenzake kwa ukali na uzuri wake....alinizungusha sana hadi kufikia form2 nikakabidhiwa mzigo rasmi!

Kwa taarifa yako Wanawake wanapenda sana mwanaume anaejiamini#???

Form one kama ulikuwa una umri sawa na yeye basi its okay..
 
Ukizaliwa tu mwanaume huo ujasiri upo ndani yake kitu cha kawaida alafu kumbuka tuna vichwa viwili na vyote vina ubongo ivyo vinasaidiana mawazo.
Mkuu umesahau.Kichwa chenye ubongo ni kimoja
hicho kingine kwa lugha ya ufundi kinaitwa ''Earth rod'' kinatumika
kupunguza chaji za umeme mwilini kwenda ardhini
ndo maana chenye ubongo kimeelekea juu lakini hicho
kingine kinaelekea chini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom