Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,958
Jamanii wa mbagala tuna kazi.....
Kuliko sie wa tandaleee?
Afadhali yenu maana tunavyosemwa mhhh!!!
Asavali tu tutengeneze kolabo unajua Honey Faith umoja ni nguvu! Tuwaige ukawa
Basi tuwe watengwa camp au unaonaje?
Wamoja ndio poa zaidi tena kivyetuvyetu au unaonaje?
Poa poa wamoja crew