Asante mkuu. Hiyo naitumia mwili mzima Au sehemu husika pekeeJaribu na hii sabuni
Mmh nilikua nimeiandika Ila nikafuta nimehofia kuharibu biashara Za watu na mod wakafuta uzi wangu kabla sijapata majibu y’a shida yangu Maana ni jina common sana. Ila product zao zingine zote ni nzuri.Hiyo duodorant inaitwaje tuiepuke
We andika mkuuMmh nilikua nimeiandika Ila nikafuta nimehofia kuharibu biashara Za watu na mod wakafuta uzi wangu kabla sijapata majibu y’a shida yangu Maana ni jina common sana. Ila product zao zingine zote ni nzuri.
Mkuu inaanzia na letter N mkuuWe andika mkuu
Niv.ea?? AuMkuu inaanzia na letter N mkuu
Kuna V huko kati kati?Mkuu inaanzia na letter N mkuu
Asante mkuu nimekuelewa. Kama nilivosema awali, sababu ni Hiyo deodorant niliyoitumiaHuo uweusi jiulize sababu ni nini, weka madawa ya kupaka pembeni.
Fuatilia na ufanye utafiti dalili ya kiafya inayoitwa Insulin resistance,
Ni sawa na gari itoe moshi mzito mweupe halafu unaipeleka car wash waisafishe labda itaacha kutoa moshi. Insulin Resistance is real.
Ndio mkuuKuna V huko kati kati?
Atakuwa kama mzunguJaribu na hii sabuni
Inachubua? Basi nitaitumia sehemu zenye uhitaji pekee. Sitapaka usoni wala mikononiAtakuwa kama mzungu