Unatengenezaje Pesa Mtandaoni?

Masokotz

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
3,495
5,531
Habari za wakati huu waungwana;

Mnamo mwaka 2005 nilipata kusikia habari za kwamba watu wanaweza kufanya kazi kwa njia ya mtandaona kutengeneza pesa.Kwa sababu ya uelewa finyu wa teknolojia na uhaba wa rasilimali haikuwa rahisi sana mimi kutambua ni kwa namna gani.Hata hivyo niliendelea kufuatilia sana ambapo katika kujifunza niligudundua vitu vingi sana ambavyo vilinithibitishiwa pasi na shaka kwamba unaweza kutengeneza PESA kwa njia ya Mtandao.

Tanga mwaka huuo wa 2005 mpaka leo ni zaidi ya miaka 15.Katika kipindi chote hicho nimekuwa nikihangaika sana kutafuta namna ya kutengenza pesa mtandaoni.Nilijaribu mbinu nyingi ikiwamo blogging,affiliate,n.k.NIlitumia Pesa zangu zaidi ya Shilingi Milioni 6 kwa kipindi cha miaka 15.Pamoja na kutumia kiasi hicho cha pesa sijawahikufanya FOREX pamoja na kwamba nimewahi kujifunza.Binafs sikuvutika na forex kwa sababu nili kuwa nataka LOW risk opportunities na kwangu Forex ilikuwa na RISK.Hata hivyo nilijifunza na hata kuwashauri watu ambao walikuwa wanapenda kufanya FOREX na wengine wakafanikiwa kutengeneza kiasi fulani cha FEDHA.

NIlijaribu Blogging,hasakatika mtandao wa google ambapo napo pamoja utundu wangu wa kuandika contents za kizungu na kiswahili badosikufanikiwa kutengeneza PESA nyingi katiak adsense na mpaka wakati huu ninayo akaunti ya adsense ingawa haijawahi nipatia PESA.Nimejaribu mbinu mbalimbali na kujifunza vitu vingi kuhusu kufanya kazi online.Pamoja na kukwama sana katika mengi niliyojaribu kufanya bado nilifanikiwa kuingiza zaidi ya Shiling mili 10 katika kipindi cha miaka hii 15 kwa njia ya mtandao.Kiwango hiki cha pesa ni kidogo sana hasa ukizingatia jitihada nilizoweka na muda niliotumia.Hata hivyo kuna jambo moja ambalo nilijifunza ambalo lileta tofauti katika namna ambavyo ninatengeza PESA online.Jambo lenyew ni jinsi ya kuunganisha biashara ya mtandaoni na ile ya nje ya mtandao kwa kufanya proper branding.

Leo nimeona nilete mjadala hapa ili tujadili pamoja ni kwa jinsi au namna gani tunaweza kutengeneza PESA na kuongeza TIJA mtandaoni.Ningependa tujikite zaidi katika kuangalia namna ambavyo tunaweza kutumia local opportunities kutengeneza PESA mtandaoni badala kutumia nguvu na akili kutafuta pesa mtandaoni kutoka njeya nchi ni namna gani tunaweza kutumia au kutengeneza PESA mtandaoni kwa kutumia fursa zinazopatikana humu nchi.

Tutazame fursa pamoja na changamoto hizo na namna ambavyo tunaweza kuzishindwa kwa kuzingatia kuwa na mtazamo chanya.

Kama tukiwa na mifano halisi ya fursa na changamoto itapendeza zaidi.

Karibuni,
 
Hatutaki stori mfu sijui people we are making true money right. Just for freelancing
Screenshot_20210907-192141_Freelancer - Upwork.jpg
Screenshot_20210901-031411_Freelancer - Upwork.jpg

View attachment 1931121
 
Mkuu milioni 10 sio hela ndogo lakini..
 
Hv kuna utofauti gani kati ya copy writing na content writing?, it sounds like the same thing isn't it?
Copywriting inaweza kuwa kama translation mfano kitabu kimeandikwa kwa lugha ya English wewe unarudia kukiandika kwa lugha ya Kiswahili hiyo ni Copy writing.
Content writing nakupa title mfano.
How yo earn 1000$ on freelancing Jobs? Kisha unaandika maneno kama 2000 ivi ambayo ni kama kurasa 6 hapo utaweza kulipwa 40$-100$.
It sound good and simple
 
Back
Top Bottom