Mapema sana napakua zote 2 niwe nazo karibusawa mkuu, jamaa anazeeka vizuri. ukimaliza hiyo mtafute kwenye nyingine inaitwa security.
Pole sana.Kwangu umeme upo.Movie na wakati umeme hamna
Daa asantePole sana.Kwangu umeme upo.
Hahaha mkuu unamcheki Captain Jack SparrowPirates of the Caribbean Dead Men Tell No Tales.
Sizichoki kabisa mkuu, huwa nazirudia rudia sana yani..Hahaha mkuu unamcheki Captain Jack Sparrow
Umenihamasisha ngoja niirudie
Ragget na Pintel hawajawai kuziacha mbavu zangu Salama.Hahaha mkuu unamcheki Captain Jack Sparrow
Umenihamasisha ngoja niirudie