Unatakiwa uoe wanawake wawili

Unatakiwa uoe wanawake wawili

SUTE

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2018
Posts
324
Reaction score
259
Siku moja niko na binti mmoja gethoni, kama kawaida mambo mengine nilikuwa nasimuliwa tu kumbe ni kweli, nami nilikuwa na njaa balaa, mara anikandamize kifua, mara apige yowe dah, mara aniite baba, n.k. n.k
Sasa basi katika mazungumzo ya hapa na pale ule muda wa offtime akaniambia unatakiwa uoe wanawake wawili, mimi sikujali nikajua kawaida ya story tu.
Sasa leo nimegundua wanawake wana roho nzuri sana, kuna msemo husemwa '' kizuri kula na wenzio'' hawa viumbe huwa sio wachoyo!
 
Bila kutupa namba zake Mkuu hio kauli yako sio ValiD
 
Miaka ya mavuno mengi watu huwa wanapost ujinga,kipindi kile kila post watu wanaulizana bei ya mahindi
 
Poa ila mimi imani hainiruhusu
 
Back
Top Bottom