Unatakaje uaminifu kwenye udanganyifu??

Kigarama

JF-Expert Member
Apr 23, 2007
2,492
1,230
Mahusiano na mapenzi ni vitu viwili vinavyoshabihiana lakini havifanani ingawa vinabebana. Unaweza kumpenda mtu lakini usiwe na mahusiano naye na unaweza kuwa na mahusiano na mtu lakini usimpende. Kama alivyowahi kusema Whoop Goldenberg akimtetea Tiger Woods dhidi ya kashifa yake ya ufuska, kwamba wanandoa wengi huwa wanatoka nje ya ndoa zao lakini mbele ya kadamnasi ni wanafiki wanaowashutumu wenzao kwa kutoka nje ya ndoa zao, nami kwa kiasi fulani naamini huo ndiyo ukweli.

Lakini kwa wale walioko kwenye mahusiano na watu walio kwenye ndoa wanapodai uaminifu toka kwa wapenzi wao hao wanajitendea haki? Unatembea na Boy Friend, Girl Friend, Mke au Mume wa mtu halafu unataka eti awe "muaminifu" inakuwaje wewe unajua kwamba mnafanya udanganyifu na mwenzio halafu wewe unataka awe muaminifu?
sielewi sawasawa!!
 
wewe unagonga mke wa mtu halafu unamwambia "kuwa muaminifu UKIMWI unaua" wewe timamu kweli??

lazima atakuwa timamu huwenda anamwambia huyo mwanamke asimpe hata yeye kwani yeye anagionga tu kwavile kaombewa ila alikuwa hataki lakini ili asijekuonekana sio mwanaume basi anagonga huku akitoa taadhari
 
Mahusiano na mapenzi ni vitu viwili vinavyoshabihiana lakini havifanani ingawa vinabebana. Unaweza kumpenda mtu lakini usiwe na mahusiano naye na unaweza kuwa na mahusiano na mtu lakini usimpende. Kama alivyowahi kusema Whoop Goldenberg akimtetea Tiger Woods dhidi ya kashifa yake ya ufuska, kwamba wanandoa wengi huwa wanatoka nje ya ndoa zao lakini mbele ya kadamnasi ni wanafiki wanaowashutumu wenzao kwa kutoka nje ya ndoa zao, nami kwa kiasi fulani naamini huo ndiyo ukweli.

Lakini kwa wale walioko kwenye mahusiano na watu walio kwenye ndoa wanapodai uaminifu toka kwa wapenzi wao hao wanajitendea haki? Unatembea na Boy Friend, Girl Friend, Mke au Mume wa mtu halafu unataka eti awe "muaminifu" inakuwaje wewe unajua kwamba mnafanya udanganyifu na mwenzio halafu wewe unataka awe muaminifu?
sielewi sawasawa!!

Kwa kifupi, huwa hakuna uaminifu kwenye kile ulichokiita udanganyifu. Kama ameweza kuvua kwako angali ana commitment, atashindwaje kuvua kwa mwingine pia? Ameshindwa kumheshimu mwanandoa au mpenzi wake, atawezaje kuwa mwaminifu kwa wewe 'nyumba ndogo' ambaye hana commitment nawe? Solution ni kuwa waaminifu.
Jiulieze, tuko wangapi? Tulizana.
 
Mahusiano na mapenzi
Faithfulness mmmmmh no comment but wish to never cheat again

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom