unataka utoke wkend na mpoleeee?

Nakuja mwaya ..
Kaka yako yuko safarini hivi sjakwambia kaenda kumtembelea H??

he he he,nilikuwa nishasahau,wajua aliponitelekeza nilipata mwingine,japo si kama yeye ila hivyo hivyo tu?? Nitumie ka-Vodka wifi yangu nitulie huku nakusubiri....nimechoka sana,kuishi na usiyempenda tabu sana....lol
 
Vipi tena? what happened to your earlier statement ya watu kujadili kwa heshima? Si ulisema JF ni jukwaa la furaha? acha hivo bwana!

mabuduli kama haya yakija. unayapa chai ya kulalia. amekosa usingizi eti anakuja kuonja sumu kwa kuilamba.hahahaaa...!!. Anapima ulefu wa bahari kwa mguu. duh! huyu dogo anataka kujiletea balaa. siku zote mkataa pema pabaya panamuita. ndo kama huyu. nlivyosema vile akafikiri kwangu ndo pakuonyeshea umwamba.hahaaaa...!!. Mia
 
because you don't have to think real hard..
you can write a lot of crap .. no one cares..

Pia watu tunachoka na ma-topic serious na yakukatisha tamaa kila saa,we need to have fun wifi, si kila saa..mara nimeachika,mume-ka-cheat, mafuriko, sijui inflation, oh Taifa Star imefungwa....tunahitaji topic ka hizi sometimes...!
 
hahahahahahahahahaha lohhhh. jamani acha kunichekesha etii

hicho kicheko chako ndo kilio chako. jiliwaze na kusema screen. usijaribu hii namba. ntakuharibu sura zaidi ya hapo. unaleta mambo ya mzungumkuti hapa. utalewa bila kunywa dogo. ooohoo... Mia

hapo kwenye red ntafurahi ikitokea hivyo , maana utanisaidia ku serve pesa nyingi mno..
Naomba ufanikishe basi hilo....
 
he he he,nilikuwa nishasahau,wajua aliponitelekeza nilipata mwingine,japo si kama yeye ila hivyo hivyo tu?? Nitumie ka-Vodka wifi yangu nitulie huku nakusubiri....nimechoka sana,kuishi na usiyempenda tabu sana....lol

NImesikitika ghafla kusikia ulichosema..
yaani umepata mwingine bila kuniambia? Halafu sasa hata humpendi.. Ni nini lakini kimekuingia wifi yangu?
ahhhhhh girls/women night out kesho jioni .. nakupitia taka usitake kwa sasa peleka hii unaihitaji na itabidi
tuongee kwa herufi kubwa kuhusu H...

hiyo glasi ya Martini itakutoa wazo my dear ....
 
Kapime basi kwanza inakwaje upo tayari kabla hujapima?
 
Pia watu tunachoka na ma-topic serious na yakukatisha tamaa kila saa,we need to have fun wifi, si kila saa..mara nimeachika,mume-ka-cheat, mafuriko, sijui inflation, oh Taifa Star imefungwa....tunahitaji topic ka hizi sometimes...!

umenena cha maana sana wifi.
Tatizo wengi wetu tunachukulia kila kitu "serious"
ahhh tunatakiwa ku relax kidogo bana.. kama ile thread ya JF udaku
raha tupu mle.. ( I hope ulipata chance ya kuisoma )...
 
Figganigga kaka yangu, you are better than that kwa kweli. Punguza hasira, kalale kwanza, kesho ukija uje ufute hizi posts.
 
Figganigga kaka yangu, you are better than that kwa kweli. Punguza hasira, kalale kwanza, kesho ukija uje ufute hizi posts.
siku hizi basi huongei na mimi sijui deskmate wako pia yuko wapi
 
Figganigga kaka yangu, you are better than that kwa kweli. Punguza hasira, kalale kwanza, kesho ukija uje ufute hizi posts.

Mwali ukisoma sana comment zake ni kama comedy show flani hivi, mwache tu azidi kujimwaga..
usema ukweli ananifurahisha sana yaaani...
 
Martin....Oh Martini....!
Nimefurahije sasa? na ka-usingizi nakasikia sasa, nitafurahi kukuona dearest na kuzungumza nawe kuhusu H (my disease) iyo kesho....can't wait,nina mistori ya kukupa pia kuhusu huyu shem wako wa sasa...lol...Cheers!!! One love!!
 
Mwali ukisoma sana comment zake ni kama comedy show flani hivi, mwache tu azidi kujimwaga..
usema ukweli ananifurahisha sana yaaani...
Haya bwana, kama unafurahi basi nafurahi pia.
Vipi mwaka mpya? ulijienjoy kama kina Ivuga UDOM? lol
 
Mwali ukisoma sana comment zake ni kama comedy show flani hivi, mwache tu azidi kujimwaga..
usema ukweli ananifurahisha sana yaaani...

jiliwaze. timing yako nshaipata. pale nyuma ya mwanamboka. nakupandia kwenye saccos. subili uone. hapa si unaona natania. siku hiyo ndo utafurahi zaidi. we subili.
 
siku hizi basi huongei na mimi sijui deskmate wako pia yuko wapi
Deskmate alinambia atakuja karibuni ila naona kafunguliwa thread ya get well soon.
Niongee na wewe bila kukuona? ulipotea sana siku hizi za sikukuu. Habari ya mwaka mpya?
 
umenena cha maana sana wifi.
Tatizo wengi wetu tunachukulia kila kitu "serious"
ahhh tunatakiwa ku relax kidogo bana.. kama ile thread ya JF udaku
raha tupu mle.. ( I hope ulipata chance ya kuisoma )...

Hiyo ya JF UDAKu sijaipata dearest,nikijaliwa kuamka salama nitaitafuta niisome....take a good care of the beautiful you and stop wasting your energy with people who do not worth your attention....laters!! keep well!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…