Mkuu mimi nipo najitongozea hapa mpoleee, mtu mwingine anakurupuka huko kitandani aliko na kuanza kuniletea maneno ya ubabe. hivi hayo maneno anaweza mwambia mmewe? bora hata angeongea mpoleeee ningemuelewa sio hawa viruka njia. mi hata silijui hili lisichana. naliona ona tu. ngoja nilale zangu. Mia
Haya cheki nawe ulivyo kurupuka .
Naomba unipe kosa au ubaya mmoja tu wa
hii thread .?
To be honest I think is other way around SHAME ON YOU .. who told you she was looking for "fame"? She asked for a date
What's wrong with that ? Come down and stop
Judging sameone you hardly know ....
tunarekebishana kijf si vinginevyo. kanusha usemi wako wa matope kabla sijakuvunjia heshima. naomba tuheshimiane, sijawahi kucomment hata thread yako 1. sikujui hunijui. Mia
hivi we unajua dena na mpoleeee walianzia wapi? au umeingia tu kichwa kichwa?. Mia
miaka kadhaa ijayo chit chat itakuwa popular kuliko MMU labda na jukwaa la siasa..
inahuu? unataka kutoka na mpoleeee?
JF kuna watu wana frustration na bitterness ya hali ya juu,na wanaotaka kila mtu awe kama wao,Mungu ametuumba tofauti,tumelelewa tofauti,sehemu tofauti,tuna kiwango cha kufikiri tofauti,elimu,exposure na kadhalika....napata shida watu wanampomtusi mtu kwa kuandika yaliyo moyoni mwake na kutaka hadharani kile akitakacho....wengine wanatamani wawe na guts za Mpolee kuweka wanayotaka hapo....she dares,do not take that for granted....she knows what she wants and goes for that...big up Mpoleee! Ishi utakavyo mpaka dunia itakapokufundisha tofauti...you actually made my day!!
uhusiano wao haunihusu..
Tangu lini tunaangali uhusiano baina ya watu kujibu thread ??
Kama nilivyokwambia vitisho havinitingishi
Hata unywele. Tena kwa mtu ambae nimekutananae kwenye net .. polee
Mia taratibu ehh, pacha wangu huyo.
Nadhani wala sio miaka. Ni miezi tuu.
duhhhh
umeona ehh Chit chart inavyokua haraka..
we jifanye unajua vijembe. wapi nimesema uhusiano? hasira mpelekee mmeo alokupa huo ujauzito sio mimi, tena unikome. pumbavu zako.
Kama nilivyokwambia vitisho havinitingishi
Hata unywele. Tena kwa mtu ambae nimekutananae kwenye net .. polee
Wifi em njoo mara moja tujadili ule mpango wetu,naona unapoteza muda wakati una majukumu makubwa....kaka yuko wapi leo??
Pia sitashangaa jukwaa likikosa mshiko Kwa sababu ya thread zisizo na kichwa wala miguu. But we shall see
Hujagunda thread za namana hizo ndo zinawafuasi wengi??
hahahahahahaha usivunje tu sreen yako kwa hasiri..
Take a deep breath , relax, usje kufa bura na mtu mwenyewe unae ongea nae anakucheka tu...
Vipi tena? what happened to your earlier statement ya watu kujadili kwa heshima? Si ulisema JF ni jukwaa la furaha? acha hivo bwana!Mkuu mimi nipo najitongozea hapa mpoleee, mtu mwingine anakurupuka huko kitandani aliko na kuanza kuniletea maneno ya ubabe. hivi hayo maneno anaweza mwambia mmewe? bora hata angeongea mpoleeee ningemuelewa sio hawa viruka njia. mi hata silijui hili lisichana. naliona ona tu. ngoja nilale zangu. Mia
Good observation partner!
But I wonder why?