What if she is just having fun?Unajuaje kama anajitafutia umaarufu?
Zawadi ya mwaka mpya. . . .lizzy unataka kuninyima nini?. Mia
waambie waache kuntusi na kuniona mjinga hata kama wamenzd.
Happy new year BHT!What if she is just having fun?
Mpolee muheshimu anayekuheshimu mwaya, halafu sheria za JF zina apply equally kwetu sote jiunge leo au mwaka 2006, ngoma draw!
Halafu Mwali wangu Happy New Yr!
jf where we dare to taik openly. where are you my dear? equal rights we dare. Mia
Zawadi ya mwaka mpya. . . .
Asante Mwali wangu....Happy new year BHT!
In red: Hata kwa kumsoma tu mi mwenyewe I am having fun. Sasa nashangaa wengine wanachukulia seriouuuuus, kama ni thread zao!
Nilimiss mchango wako! Hapo in bold, salute! Heshima mbele watu wote, ukiona umenyimwa basi report abuse(snitch) au retaliate kijanja kijanja (kama myu alie soma). lol
Si ndio hivo? Sio kujibu kwa hasira alafu thread yako inafutwa au mwenyewe unafungwa. Tit for tat lakini unakwepa mkuki wa ban! lol...Asante Mwali wangu....
Halafu juu ya yote hapa ni chit chat tu jamani, hata kama ana maanisha people should just let her be, mbona tuna impose tabia na style zetu za maisha bana!
Hehehee ritaliation ya kijanja janja inabidi unimegee maana mwenzio ni tit for tat kisha tunasonga....lol!
Hahhaaa mjanja kweli weye...Si ndio hivo? Sio kujibu kwa hasira alafu thread yako inafutwa au mwenyewe unafungwa. Tit for tat lakini unakwepa mkuki wa ban! lol...
hapana. sina maana hiyo. mi namaanisha wale watu ambao anadeal nao kwa sana sana halafu marafiki zangu. na hii sijaiandika kwa nia mbaya. ni kama tahadhari ili asije nikwaza. sema na wewe ungekuwa rafiki yangu halafu ukawa unaonewa hata wewe nakutetea. pole sana. mpoleeee yupo piwa sana sema kuna vitu vidogo vidogo inabidi nmusaidie kumrekebisha ili tuende sawa coz hata yeye ni rafiki. Mia
This is to you mpolee: hopefully this is not one of those silly acts za kupata popularity because there are better ways than this... Kujidhalilisha namna hii..is really not worth a fame!
To the guys mnaomtetea: my view mnataka kum mislead huyu dada hamna lolote zaidi ya kumchoresha tu. na kwa wale wanawake wanashabikia hii pia SHAME ON YOU!!
Samahani mkuu kwani wewe ni babake au mwanaume fulani anaemchukulia as a role modal.
Je uliangalia pande zote ? Au umeamua kum
Shambulia tu mpolee..
Samahani mkuu kila mtu anathamani yake hapa hii ya kusema heshim mtu sababu alikuwa hapa kabla yako ni....
Heshim anae kuheshim end of story ..
Haya cheki nawe ulivyo kurupuka .
Naomba unipe kosa au ubaya mmoja tu wa
hii thread .?
To be honest I think is other way around SHAME ON YOU .. who told you she was looking for "fame"? She asked for a date
What's wrong with that ? Come down and stop
Judging sameone you hardly know ....
tunarekebishana kijf si vinginevyo. kanusha usemi wako wa matope kabla sijakuvunjia heshima. naomba tuheshimiane, sijawahi kucomment hata thread yako 1. sikujui hunijui. Mia
Ni mwanamke
alie kuwa na anaelewa afanyacho..
Huwezi kurekebisha tabia ya mtu ki hivi ..
Je uliangalia pande zote ? Au umeamua kum
Shambulia tu mpolee..
Samahani mkuu kila mtu anathamani yake hapa hii ya kusema heshim mtu sababu alikuwa hapa kabla yako ni matope matupu..
Heshim anae kuheshim end of story ..
Punguza munkari mkuu.
Mia.