unataka utoke wkend na mpoleeee?

AD mbona mimi ndo nilidhamini harusi na hujanitaja....dah....
umesahau H mimi ndie his best advisor?muulize Michelle....yaani i am more broken heart than you...lol

So sorry, you gave your best, I can feel how broken you are The Boss...you remain special in M & H hearts....lol
 
Sasa after saa nne ndo wapendwa wanakuja,itakuwaje?? Hunipendi dear,we wataka mi nishinde mchana hapa na Radhia na Mpolee tu???
Hahahaha. . . sasa sinataka uwe unalala dearest?
Au tubadili ratiba za wapendwa. . . .???!
 

lol! You'd a good laugh eeh!? LOL! 🙂

 
yaani wewe na mimi vichwa vyetu vinafanana....
nilihisi hivyo kuwa labda ni male
na hizo id unazotaja.nilihisi humo humo ..funny...

See Boss, one thing I've observed about you is that you are a thinker. You think.
 
Uliona sredi ya Radhia siku ile? Uliona ilifikia page ngapi na katika span gani?

Na ushaziona sredi za Zinduna? Kuna moja alianzisha kuhusu date yake.....heheheheheee hilarious stuff.

I know, watu wengine wanawasha keybord moto, wengine wanachangia kuchochoea ugomvi, wengine wanajifanya kupuliza yani full drama. Hayo ndo mambo wabongo wanapenda. . . . .
 


hahahahahah i'm expressing my feelings ... sometime history can change ..
Do you believe in second chance?...
 
lol! You'd a good laugh eeh!? LOL! 🙂


Yeah..I got a good laugh out of it but more so from the people's responses than the actual default post itself. Kinda in the same line like Ufudu's post and how he got people only later on to be revealed that Ufudu was linked to Yo Yo.

Ufudu's post made me wonder if it would have been received the same way had it been posted under/ by Yo Yo.

JF is full of drama like a soap opera!
 

NN i know we don't the real person behind the avatar..
Kwa hiyo tunajibu poster zao kama zinavyokuja na si kuwaza kama huyu
ni dume ama jike.. If we try to figure out huyu ni me au ke lohhh unaweza
kujipa magonjwa ya moyo.

nimependa sentensi yako ya mwisho ..
 
Ndio mwali, nimejaribu bahati yangu kwenye huu mtoko japo sitafanya ile ki2....si unajua tena kikwetu haramu
Aaaah, kwani yeye alilazimisha watu kufika huko? umepata majibu? au na wewe unasubiti kama EMT?
 
AD mbona mimi ndo nilidhamini harusi na hujanitaja....dah....
umesahau H mimi ndie his best advisor?muulize Michelle....yaani i am more broken heart than you...lol

hahahahahah naelewa hilo dear ..
ila ulikuwa wa pili kwenye mstari , sjakusahau ..🙂
 

Dahhhhh Kazi ipo ..
Nasikia Kanye West is a godfather wa B&J .....
 
Reactions: BAK
Unafikiri ni kwa nini mwanaume anaamua kuingia na ID ya kike?

Sababu ni nyingi. Inaweza ikawa ni utundu tu na si kingine. Inaweza ikawa labda anahisia za kike. Inaweza ikawa ni multiple personalities. Inaweza ikawa ni kupoteza lengo labda asishtukiwe...labda ID yake ingine imefungiwa. I mean, it could be anything for all I know.

Anayejua kwa uhakika ni yeye mhusika. Mimi na wewe tunachoweza kufanya ni kuhisi na kusadiki tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…