unataka utoke wkend na mpoleeee?

Silence means YES bro,sisi ndo tunaendeleza thread hapa,yeye anakula raha....ndo raha ya kusema unachokitaka hadharani...lol

Khaaa! Ngoja na mie nianzishe lisredi langu.

Usinambii na wewe umeapply? lol

Kwani alikuwa amexkludi baadhi ya watu? Nalidhani kulikuwa na ikuo oportuniti mpaka kwa wanawake?
 
Lucky him!
kuna mtu aliweka picha za huyu actress kule jukwaa la wakubwa nikasikitika sana... But nampenda tu. vile alivyo nampenda tu.

Alifanyaje tena Mwali?? natamani nizione, manake huyu alonipa hii avatar atakuwa ana maana yake, ni vizuri nikamjua huyu binti vizuri....lol....nami nampenda (atleast tangu nipewe iyo avatar....)
 

Hahahaahha. . .huo ni ubunifu dearest, tupigianeni makofi wote. Ila ukweli unabaki, angalau tungepiga story ambazo ni zinaongeza afya ya akili na mwili. Sio kuambiana mimi bikira, natafuta mwanaume (a crazy version of LOVE CONNECT) , mi mzuri nisifieni na mkikataa hivi na vile. Inafurahisha kidogo ila mtu unatoka empty, hata kicheko chake hakikai muda mrefu.

Ila wewe ni mmoja wa wafikiriaji wazuri humu ndani unastahili kupumzika. Kesho pitia thread Kurwa wangu aliyopendekeza JF UDAKU ucheke mpaka utakapoenda kulala, truly entertaining.
 
Kwani alikuwa amexkludi baadhi ya watu? Nalidhani kulikuwa na ikuo oportuniti mpaka kwa wanawake?
Kumbe uliona? mi nilikua na-act on behalf... :A S embarassed:
 
watu wanapokata tamaaa
wanatafuta ways to escape

Sasa escape gani inayopoteza, isiyo na faida, wangekimbilia sehemu ambayo ni safe and better ili wapate matumaini mapya.
 
Naona sasa umekosa hoja.
Mambo ya mume na ujauzito yanatokea wapi? Ulimuoza wewe?

Wakati mwingine mtu ukiona umeshindwa siutulie tu. Sio lazima uropoke hata mambo yasiyo maana, unapunguza heshima kama uliwahi kuwa nayo.

Umemaliza? ongea yote nikujibu kwa pamoja. pumbavu.
 
The Boss nawe bana usitaje jina zima bana .. unamuumiza Michelle..

That is my sensitive and considerate AD, reminding me of my past while i took sometime off to heal....only to be back and reminded of him by my friend...so painful...lol
 
Reactions: BAK

dahhhh
Nakuja mwaya hiyo kesho , unipe ma unene yote ya shem mpya
na kujibu swali hili "Kwa nini tu hukuvumilia mpaka H atakaporudi"...
Usiwaze sana jibu litakuwa laini kesho baada ya Midori..
 

Asante dearest....yaani nilikuwa nimeshaaga kabisa hapa sijui nafanya nini hadi saa hii?? JF bwana ndo maana nakimbiaga wakati mwingine...lol
 
Reactions: BAK
Naona sasa umekosa hoja.
Mambo ya mume na ujauzito yanatokea wapi? Ulimuoza wewe?

Wakati mwingine mtu ukiona umeshindwa siutulie tu. Sio lazima uropoke hata mambo yasiyo maana, unapunguza heshima kama uliwahi kuwa nayo.

Doto usiumize kichwa ..
Mwenzio nimechoka kucheke sasa hata simjibu tena.
maana ananiahidi vitu hatimizi.. ahaa nangoja kwa hamu anileweshe ...
achana nae bana..
 
Alifanyaje tena Mwali?? natamani nizione, manake huyu alonipa hii avatar atakuwa ana maana yake, ni vizuri nikamjua huyu binti vizuri....lol....nami nampenda (atleast tangu nipewe iyo avatar....)
Huyu dada ni actress mzuri tu, nashani rafiki yako alikusaidia kwa nia nzuri.
Ila sasa sijui ni photoshop, au sijui alianguka tu mara moja, ila kuna picha kule jukwaa la wakubwa zinamuonesha akikaa vibaya.
 
Huyu mpoleeee, Radhia Sweety, na mwita25 wanajua sana kushika akili za watu humu lol. Hata yule Zinduna naye hivyo hivyo.

Yaani unakuta watu wamekomaa kweli kweli kwenye sredi zao :lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol:

Halafu sasa wote hao anaweza akawa ni mtu huyo huyo mmoja lol. Anaweza akawa ni Yo Yo.

Kwa wale ambao reading comprehension iko kushoto, operative word hapo ni "anaweza". Hiyo haimaanishi kwamba ni yeye.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…